Victory Christian Centre (VCC)

Victory Christian Centre (VCC) Victory Christian Centre is a Tanzania Assemblies of God (TAG) church whose main focus is to reach and pe*****te youths and society through the Word of God
(1)

Here at VCC we are committed to God and one another to honor God and building one another through worship and the ministry of the Word is our highest goal as we gather together.

K**a hukuweza kuwa nasi jana kwenye Siku ya Watoto, haya ni baadhi ya matukio mazuri yaliyofanya siku hiyo kuwa ya kipek...
01/06/2026

K**a hukuweza kuwa nasi jana kwenye Siku ya Watoto, haya ni baadhi ya matukio mazuri yaliyofanya siku hiyo kuwa ya kipekee.

ARISE!

31/05/2026

Worship experience led by our children’s ministry at VCCT.

Mchungaji Kiongozi Dkt. Huruma Nkone na Mch. Joyce Nkone wanakukaribisha katika Sikukuu ya Watoto (Children’s Day),itaka...
30/05/2026

Mchungaji Kiongozi Dkt. Huruma Nkone na Mch. Joyce Nkone wanakukaribisha katika Sikukuu ya Watoto (Children’s Day),itakayofanyika kesho Jumapili 31/05/2026.

Ibada ya 1: 01:00 Asubuhi
Lugha: Kiingereza

Ibada ya 2: 03:30 Asubuhi
Lugha: Kiingereza

Ibada ya 3: 05:30 Asubuhi
Lugha: Kiswahili

VCCT Mbezi Beach

ARISE CHILDREN CAN SERVE GOD

30/05/2026

Bwana Yesu Asifiwe!
Jumapili hii usikose tukio maalum la uzinduzi wa VICTORY BUSINESS & PROFESSIONAL NETWORK lenye kaulimbiu “Arise & Advance”.
Katika mkutano huu , Baba yetu Rev. Dr. Huruma Nkone atakuwa akifanya maombi na maombezi maalum kwa wafanyabiashara, wajasiriamali na wataalamu wa kada mbalimbali. Pia kutakuwa na utoaji wa mitaji midogo kwa ajili ya kuwawezesha baadhi ya wafanyabiashara kuanza au kukuza biashara zao.

K**a wewe ni:
✅ Mfanyabiashara
✅ Mjasiriamali
✅ Mmiliki wa kampuni
✅ Mfanyakazi wa sekta binafsi au umma
✅ Mwanafunzi wa chuo anayejitayarisha kuingia kwenye ulimwengu wa biashara na taaluma
✅ Mtaalamu wa kada yoyote (Daktari, Mhandisi, Mwanasheria, Mhasibu, Mwalimu n.k.)
✅ Unatafuta fursa za biashara, kazi au ushirikiano
Basi mkutano huu ni kwa ajili yako!
Kutakuwa pia na muda wa Networking ambapo utapata nafasi ya kukutana na kuunganishwa na wafanyabiashara, wataalamu na viongozi mbalimbali wenye maono ya kukua na kusonga mbele.
Ni wakati wa kuinuka na kusonga mbele katika biashara, taaluma na wito wako.
ARISE & ADVANCE!
Karibu sana Jumapili hii hapa hemani!

Tunamshukuru Mungu kwa Ibada ya Ijumaa ya jana ambayo ilikuwa ya nguvu sana! Mojawapo ya mambo yaliyotugusa sana ni kuon...
30/05/2026

Tunamshukuru Mungu kwa Ibada ya Ijumaa ya jana ambayo ilikuwa ya nguvu sana!
Mojawapo ya mambo yaliyotugusa sana ni kuona kwa mara ya kwanza huduma ya Victory Voices ikihudumu madhabahuni. Hiki ni kikundi chetu kipya cha sifa na kuabudu kilichozaliwa kutoka ndani ya huduma ya vijana wetu wa rika(Teenagers) katika idara yetu ya TCG(The Chosen Generation).

Karibu sana kesho tushuhudie pamoja yale ambayo Bwana ameweka kwa ajili yetu.

29/05/2026

Tunamshukuru Mungu kwa ibada ya leo ya Ijumaa ambayo ilikuwa ya kipekee sana!
Ilikuwa ni baraka kubwa kuona watoto wetu wakiongoza ibada katika Wiki yetu ya Watoto. Hakika huduma ilikuwa ya baraka sana na uwepo wa Mungu ulikuwa wa halisi!
Na hii ni mwanzo tu… Kuna mengi zaidi yanakuja Jumapili!

28/05/2026

Jumapili hii itakuwa ni sikukuu ya watoto hapa VCCT! Siku ya pekee ambayo watoto wetu wapendwa watachukua hatua mbele na kuhudumu kwa wimbo, neno, na nguvu ya Roho Mtakatifu!

Usikae nyumbani siku hii ya baraka! Karibu
na ufurahi pamoja nao!

Marko 10:14
“Waacheni watoto wadogo waje kwangu; msiwazuie, kwa maana ufalme wa Mungu ni wa watu k**a hao.”

26/05/2026

Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu ~ Warumi 8:14.

Roho Mtakatifu hutuongoza hatua kwa hatua kwenye maamuzi yetu, mahusiano yetu na hata kutusaidia kuliishi kusudi la Mungu kwaajili ya maisha yetu.

Unapo inuka wiki hii, kusudia kuongozwa na Roho Mtakatifu na maisha yako yatakuwa ishara kuwa wewe ni wa Mungu.

Kitabu kinapatikana kwa shilingi 10,000 hapa VCCT Mbezi Beach.
Delivery inafanyika popote Tanzania na hata nje ya nchi.
Kwa maulizo ya malipo: +255 65 493 2425

Kwa contents zaidi k**a hizi, tufuatilie kwenye WhatsApp channel yetu “Pastor Huruma Nkone’s Channel.”

Huu ni wakati wako wa KUINUKA na KU-ARISE!
Pata nakala yako leo na uanze safari ya kuinuka katika yote.

Address

Victory Christian Center
Mbezi

Opening Hours

Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00
Sunday 06:30 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Victory Christian Centre (VCC) posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Victory Christian Centre (VCC):

Share