Prophet Victor H

Prophet Victor H Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Prophet Victor H, Religious organisation, Mbezi.

USI LIE WALA USIUMIEKUNA WATU WALIKUJA KATIKA MAISHA YETU ILA HAWA KUWA WA KWETU NDIO MAANA MUNGU ALIRUHUSU WAONDOKE1 Yo...
25/03/2023

USI LIE WALA USIUMIE
KUNA WATU WALIKUJA KATIKA MAISHA YETU ILA HAWA KUWA WA KWETU NDIO MAANA MUNGU ALIRUHUSU WAONDOKE

1 Yoh 2:19
Walitoka kwetu, lakini hawakuwa wa kwetu. Maana k**a wangalikuwa wa kwetu, wangalikaa pamoja nasi. Lakini walitoka ili wafunuliwe kwamba si wote walio wa kwetu.

23/03/2023
NGUVU YA MAOMBIJinsi tunavyo chochea na kukazana kuomba ndivyo  adui zetu wanavyo kimbia.K**a vile mgema asali anavyo ch...
22/03/2023

NGUVU YA MAOMBI

Jinsi tunavyo chochea na kukazana kuomba ndivyo adui zetu wanavyo kimbia.

K**a vile mgema asali anavyo chochea Moshi kwenye mzinga au msitu ndivyo nyuki wanvyo kimbia asali tayari kwa mgemaji kujipatia asali.

Rafiki yangu aliniambia aliomba sana Mungu ampe mke basi akakutana na binti mmoja ambaye alijifanya kaokoka na ana nena kwa lugha,urafiki ulianza mpk mwisho jamaa aliamua kwenda kwao na binti na kujitambulisha pia kumvisha Pete muda ukaenda jamaa akafikia kupeleka barua ya posa.
Katika kipindi chao cha urafiki na uchumba walikuwa wakipendana sana hasa jamaa alimpenda sana alijua ndie rafiki ,mke wake mtarajiwa na walikuwa wana tabia ya kuomba pamoja katika chumba cha maombi na binti alikuwa akinena kwa lugha .
Jamaa alikuwa pia ana maombi yake kwa Mungu akimwambia K**a huyu mwanamke siyo sahihi Mungu nisaidie kuwe Kuna ugumu wa kupata mahali na sababu itakayo fanya tuachane.
Lakini siku moja Mungu alisema na jamaa alipo kuwa kalala akamwambia huyu binti ni mchawi jamaa akiwa kwenye kutafakari ata mwambia vipi huyo binti ndio baada ya siku kadhaa binti naye akamwambia jamaa nimeambiwa wewe siyo mtu mzuri hapo hapo jamaa nae akamwambia nami nimeambiwa wewe ni mchawi kuanzia hapo binti akaanza dharau,kuwa na tabia ya kuto mheshimu wala kumjali mchumba wake.
Tuna jifunza nini ? siyo kila anae nena kwa lugha ni lugha ya Mungu wengine ni lugha za kipepo.
Neno la Mungu Lina sema walikuja kwetu ila hawakuwa wa kwetu..unaona nguvu ya maombi ilivyo endelea binti alikimbia uchumba K**a vile mgemaji alivyo chochea Moshi kwenye nyuki ndipo nyuki walivyo kimbia asali.
Usiache kuomba maombi yana msaada mkubwa sana.

Pastor Victor

BWANA YESU USINIKATE K**A MTI ULE ULIO TAKA KUUKATA NAOMBA NAFASI NYINGINE YA KUTENGENEZA UPYA PALE NILIPO KUKOSEA.     ...
22/03/2023

BWANA YESU USINIKATE K**A MTI ULE ULIO TAKA KUUKATA NAOMBA NAFASI NYINGINE YA KUTENGENEZA UPYA PALE NILIPO KUKOSEA.

Luka 13:7-9
Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda juu ya mtini huu, nisipate kitu; uukate, mbona hata nchi unaiharibu?

Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi;

nao ukizaa matunda baadaye, vema! La, usipozaa, ndipo uukate.

Wakolosai 4:2Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani; 1 Wathesalonike 1:2Twamshukuru Mungu si...
13/03/2023

Wakolosai 4:2
Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani;

1 Wathesalonike 1:2
Twamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu nyote, tukiwataja katika maombi yetu.

Wakolosai 1:13[13]Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ...
12/03/2023

Wakolosai 1:13
[13]Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake;
Who hath delivered us from the power of darkness, and hath translated us into the kingdom of his dear Son:

MUNGU AMETUTENGA KWA AJILI YA UFALME WAKE.                          Warumi 1:1-6Paulo, mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa ...
11/03/2023

MUNGU AMETUTENGA KWA AJILI YA UFALME WAKE. Warumi 1:1-6
Paulo, mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri Injili ya Mungu;

ambayo Mungu amekwisha kuiahidi kwa kinywa cha manabii wake katika maandiko matakatifu;

yaani, habari za Mwanawe, aliyezaliwa katika ukoo wa Daudi kwa jinsi ya mwili,

na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu;

ambaye katika yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake;

KUNA VIKWAZO VYA ROHONI AMBAVYO SHETANI HUTUMIA USIFIKIE KUSUDI LA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO.Kusudi lina weza kuwa NdoaUp...
11/03/2023

KUNA VIKWAZO VYA ROHONI AMBAVYO SHETANI HUTUMIA USIFIKIE KUSUDI LA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO.

Kusudi lina weza kuwa NdoaUponyajiKaziUchumi

Shetani na mawakala wake ndio chanzo cha tatizo hili.

Neno:
1 Wathesalonike 2:18
Kwa hiyo tulitaka kuja kwenu, naam, mimi Paulo, mara ya kwanza, na mara ya pili, na Shetani akatuzuia.

Warumi 1:13
Lakini, ndugu zangu, sipendi msiwe na habari, ya kuwa mara nyingi nalikusudia kuja kwenu, nikazuiliwa hata sasa, ili nipate kuwa na matunda kwenu ninyi pia k**a nilivyo nayo katika Mataifa wengine.

Hivyo basi siku ya Leo ingia kwenye maombi na uvunje kila kikwazo cha kiroho kilicho sababishwa na shetani kuharibu hatima ya maisha yako.

Victor H
0784814200

Address

Mbezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Victor H posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share