Jesus power miracle church

Jesus power miracle church MTUME NA NABII WA KIMATAIFA JOACHIM

Shalom! Kwenye maisha ya uduma tunaitaji mtu mmoja mwenye mafuta zaidi Yako wa kukuinua nimesoma kitabu cha Joshua kimen...
12/06/2025

Shalom! Kwenye maisha ya uduma tunaitaji mtu mmoja mwenye mafuta zaidi Yako wa kukuinua nimesoma kitabu cha Joshua kimenipa Raha sana haswa nilipo fika kwa Kalebu na Joshua wote walikuwa na nguvu lkn Kalebu aliambiwaga na Musa kinabii kuwa atamiliki mlima ila ni lini hakusemq na neno la Mungu alipiti Bure ila wkt ulipo fika Kalebu alikuwa na uwezo wa kumiliki huo mlima ila akamwambia Joshua nipe huo Mlima .alitaka upako wa Joshua utamke kauchukue hata km watu wanakaa ila niliambiwa ni wangu tamka TU niupandie nini najifunza huwezi peke Yako ili upande mlima wako ,kazi Yako, biashara Yako Kuna tamko la kiungu litamkwe kwako na Leo natamka Mungu akupe aja ya moyo wako .ukamiliki na kutawala ulmwengu wako kwa jina la Yesu. Tafuta mtu sahii wa kukutamkia mema mwenye nguvu za Mungu karibu nipigie 0715033033 kwa msaada zaidi .

Shalom! Naomba nichukue nafasi hii kukukaribisha Ijumaa kuu saa 10 jioni ktk ibada kuu .Mungu akuwezeshe kufika ktk jina...
14/04/2025

Shalom! Naomba nichukue nafasi hii kukukaribisha Ijumaa kuu saa 10 jioni ktk ibada kuu .Mungu akuwezeshe kufika ktk jina la Yesu karibu sana

MUNGU WA MBINGUNI ALIKUWA PAMOJA NA SISI JÉSUS POWER MIRACLE CHURCH KWA MATENDO MAKUU
20/03/2025

MUNGU WA MBINGUNI ALIKUWA PAMOJA NA SISI JÉSUS POWER MIRACLE CHURCH KWA MATENDO MAKUU

28/08/2024
Shalom ! Tukumbuke tuwahi ibadani .karibuni sana
21/07/2024

Shalom ! Tukumbuke tuwahi ibadani .karibuni sana

23/01/2024

USIOGOPE KUWA NYUMA YA MTU ALIYE FANIKIWA NA ASIKUTOWE MTU NYUMA YA MTU ALIYE FANIKIWA NI MANENO YA APOSTLE DR : Joachim Peter Kimanza MUNGU AKAWE NAWE KWENYE MAFANIKIO YAKO MWAKA 2024 NA MTU MMOJA ASEME HALELUYAAAAAAAA

23/01/2024

Biblia inasema Akiba ni baraka za Mungu asema Dct : Apostle Joachim Peter Kimanza

Address

Temboni
Mbezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jesus power miracle church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Jesus power miracle church:

Share