ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.

ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch., Religious organisation, Iyela II near Maendeleo Market Opposite to Maliasili Ofisi, Mbeya.

ENLIGHTENED CHRISTIAN GATHERING MBEYA BRANCH (THE JESUS NATION CHURCH) is a branch of ECG churches around the world under prophetic anointing of PROPHET SHEPHERD BUSHIRI MAJOR 1.

Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Tunapenda kukukaribisha ewe mwanamke uliyeko Jijini Mbeya na maeneo ...
30/04/2026

Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Tunapenda kukukaribisha ewe mwanamke uliyeko Jijini Mbeya na maeneo jirani kwenye Semina ya wanawake ni ibada ya TAJI LA MWANAMKE siku ya Jumamosi kuanzia saa 9:00 Alasiri hadi saa 12 jioni.

Semina hiyo tutakuwa na watumishi wa Mungu Mchungaji mwenyeji, Pastor Peter Msihi na Mchungaji mgeni toka ECG Church Morogoro Tanzania Pastor Rufina Bernard.

Hii si ya kukosa ewe mwanamke na Binti uliyeko Jijini Mbeya na maeneo jirani.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
Rufina Bernard

Ni neema ya kipekee ndani ya Kanisa la la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Jumapili hii tupo na Mtumishi wa Mun...
30/04/2026

Ni neema ya kipekee ndani ya Kanisa la la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.

Jumapili hii tupo na Mtumishi wa Mungu daughter of Major 1, Pastor Rufina Bernard toka Kanisa la Ecg Jesus Nation-Morogoro Branch

Karibu ewe mtu wa Mbeya na maeneo jirani na Mungu atakutendea makuu hii sio ya kukosa na maisha yako hayatabaki k**a yalivyo kuwa.

Kanisa lipo Airport ya zamani jirani na ofisi za Maliasili Jijini Mbeya.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Rufina Bernard

Ungana nasi tuabudu pamoja Jumapili hii ya Ushindi ndani ya Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Hakika M...
18/04/2026

Ungana nasi tuabudu pamoja Jumapili hii ya Ushindi ndani ya Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.
Hakika Mungu atakushindia Kila eneo la maisha yako.

Kanisa lipo Airport ya zamani jirani na ofisi za Maliasili Jijini Mbeya.
Muda ni kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 6 mchana.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania

Karibu uabudu nasi Jumapili hii ya Pasaka.Njoo tufufuke pamoja na Kristo.Usikose kuwemo nyumbani mwa Mungu.Prophet Sheph...
03/04/2026

Karibu uabudu nasi Jumapili hii ya Pasaka.

Njoo tufufuke pamoja na Kristo.
Usikose kuwemo nyumbani mwa Mungu.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania

Karibu uabudu pamoja nasi Jumapili hii ni Ibada ya Shukrani ndani ya Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch....
26/03/2026

Karibu uabudu pamoja nasi Jumapili hii ni Ibada ya Shukrani ndani ya Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.

Kanisa lipo Airport ya zamani jirani na ofisi za Maliasili Jijini Mbeya.
Ibada inaanza saa 2:00 asubuhi hadi saa 6 mchana.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania

This Friday ni Ibada ya Woman On Fire(WOF).Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Tunakukaribisha ewe mwana...
25/03/2026

This Friday ni Ibada ya Woman On Fire(WOF).
Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.
Tunakukaribisha ewe mwanamke uliyeko Jijini Mbeya na maeneo jirani kwenye ibada ya wanawake siku ya Ijumaa tarehe 27 March 2026.
Usipange kukosa katika ibada hiyo ya MWANAMKE MWENYE VIWANGO, muda ni kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 12:00.

Kanisa letu lipo Airport ya zamani jirani na ofisi za Maliasili Jijini Mbeya.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania

Katika mwezi huu wa UPAKO usikose Jumapili hii Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Ni mwendelezo Mungu k...
20/03/2026

Katika mwezi huu wa UPAKO usikose Jumapili hii Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.

Ni mwendelezo Mungu kuachia nguvu(Upako) kwa Kanisa lake ibada hii ni UPAKO part 3 (UPAKO WA KUINULIWA)
(Zaburi 92:10).

Ibada inaanza saa 2:00 asubuhi hadi saa 6 mchana.
Kanisa lipo Airport ya zamani jirani na ofisi za Maliasili Jijini Mbeya.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania

IJUMAA hii MBEYA 📣📣📣....Tukutane kanisa ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.kwenye semina ya Vijana.Come and refres...
19/03/2026

IJUMAA hii MBEYA 📣📣📣....Tukutane kanisa ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.kwenye semina ya Vijana.

Come and refresh your spirit, Njoo na Rafiki yako au k**a una mchumba njoo naye.

Kutakuwa na Topic mbalimbali k**a vile KIJANA NA KANISA, KIJANA NA UCHUMI na KIJANA MAHUSIANO.

Don't miss njoo tu dance njoo tuyajenge.

Location: Airport ya zamani jirani na ofisi za Maliasili.
⏰ Muda ni saa 9:00 alasiri -12:00Jioni
👔 Dress codes:Tshirt & Jeans

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Mtalemwa Dionis Rweyemamu

Jumapili ya Urejesho.(Anointing for Restoration).Tayari tupo nyumbani mwa Mungu ungana nasi popote ulipo.
15/03/2026

Jumapili ya Urejesho.(Anointing for Restoration).

Tayari tupo nyumbani mwa Mungu ungana nasi popote ulipo.

Mtumishi wa Mungu Son of Major 1, Pastor Peter Msihi wa Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. Anakukaribis...
12/03/2026

Mtumishi wa Mungu Son of Major 1, Pastor Peter Msihi wa Kanisa la ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.
Anakukaribisha ewe mkazi wa Mbeya na maeneo jirani uabudu nasi Jumapili hii tarehe 15 March 2026.(Don't miss).

Ni Jumapili ya Urejesho, Mungu anaenda kukurejeshea vitu vyako vyote vilivyopotea, afya yako inaenda kurejea, kibali chako kitarejea njoo na familia yako, na jirani yako tuombe pamoja na Mungu atarejesha mateka in Jesus might name.
(Joel 2:25)

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Mtalemwa Dionis Rweyemamu
Yvonne Mtalemwa Bushiri

JUMAPILI YA BWANA ATAFANYA TENA | Res. Pastor Peter MsihiMungu aliefanya miujiza katika biblia bado anafanya hata Leo. I...
09/11/2025

JUMAPILI YA BWANA ATAFANYA TENA | Res. Pastor Peter Msihi

Mungu aliefanya miujiza katika biblia bado anafanya hata Leo. Ibada ya Leo watu wamepokea Baraka tele, Miujiza tele na Uponyaji hakika Mungu wa Major 1 ametenda kwenye maisha yao.

Asante kushiriki nasi ibada ya Leo, Tukutane tena Jumanne saa 10:00 jioni kwenye ibada ya Uchumi usipange kukosa

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Msihi

Address

Iyela II Near Maendeleo Market Opposite To Maliasili Ofisi
Mbeya

Telephone

+255769290468

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to ECG-The Jesus Nation Church Mbeya Branch.:

Share