Mwamafupa Ministries International

Mwamafupa Ministries International Welcome To The official page. Matthew 11:12 The kingdom of heaven has suffered violence, and Men violence take it by force.

SIKU UKIJUA KINYWA CHAKO NI ZAIDI YA KOMBORA LA NYUKRIA UTAKUWA MWANGALIFU SANA NA MATUMIZI YA HUO MDOMO.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Ayu...
28/09/2024

SIKU UKIJUA KINYWA CHAKO NI ZAIDI YA KOMBORA LA NYUKRIA UTAKUWA MWANGALIFU SANA NA MATUMIZI YA HUO MDOMO.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ayubu 5:15
Lakini yeye huokoa na upanga wa kinywa chao.

LEO SAA 2:30 USIKU. TUTAKUWA LIVE KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YETU YA HUDUMA IITWAYO
11/08/2024

LEO SAA 2:30 USIKU.
TUTAKUWA LIVE KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YETU YA HUDUMA IITWAYO

23/01/2024

WATU WA MUNGU.
Whatsapp number yangu ya voda imevamiwa na majambazi wa mitandaoni.
Tafadhali ujumbe wowote utakaotumiwa Kwa no yangu upuuze siyo Mimi.

Na mtu yoyote akikupigia na kukueleza habari ya yeye ni member wa group langu la huduma usim accept.

ASANTE!

MUNGU ATAKUTENDEA MAKUU 2024UTAKUWA MKUU KATIKATI YA WATU.2024The year of laughter / mwaka wa kicheko.
01/01/2024

MUNGU ATAKUTENDEA MAKUU 2024
UTAKUWA MKUU KATIKATI YA WATU.

2024
The year of laughter / mwaka wa kicheko.

HELLO MBINGUNI.usikose mtoko wa 26 November 2023NJOO TUJIKWE ROHO YA UJASIRI NA BWANA.
20/11/2023

HELLO MBINGUNI.
usikose mtoko wa 26 November 2023
NJOO TUJIKWE ROHO YA UJASIRI NA BWANA.

..... USIOGOPE...... Season Two coming soon.
18/10/2023

..... USIOGOPE......
Season Two coming soon.

K**A UPO DODOMA UNAKOSAJE KWA MFANO?NI 14 OCTOBER 2023.SIKU NZIMA SAA 02:00 ASUBUHI MPAKA SAA 11:30 JIONI.Njoo tuogelee ...
04/10/2023

K**A UPO DODOMA UNAKOSAJE KWA MFANO?
NI 14 OCTOBER 2023.
SIKU NZIMA SAA 02:00 ASUBUHI MPAKA SAA 11:30 JIONI.
Njoo tuogelee kwenye kijito Cha SIFA na KUABUDU.

22/08/2023
08/07/2023

Unamjua uliyemfukuza?
Unamjua uliye mkataa?
Unamjua uliye mtupa?

 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Ezekieli 13:18 Ole wao wanawake wale, washonao hirizi katika viungo vyote vya mikono, ili wawinde roho za wat...
20/02/2023


πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ezekieli 13:18
Ole wao wanawake wale, washonao hirizi katika viungo vyote vya mikono, ili wawinde roho za watu; je! Mtaziwinda roho za watu wangu, na kuzihifadhi hai roho zenu wenyewe?

Basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni kinyume cha hirizi zenu, ambazo kwa hizo mnaziwinda roho za watu k**a ndege, nami nitazitoa katika mikono yenu kwa nguvu; nami nitaziachilia roho zile mnazoziwinda k**a ndege.

2023 KILA ANAYEWINDA UCHUMI WAKO, MAISHA YAKO, ELIMU YAKO, NAFASI YAKO, WATOTO WAKO, OFISI YAKO NK.
APIGWEEEEEEEEEEEEEEE!!
HIRIZI ZAKE ZIMGEUKE YEYE MWENYEWE.
.

Address

Bonymwamafupa@yahoo. Com
Mbeya
ARUSHATANZANIA.

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwamafupa Ministries International posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwamafupa Ministries International:

Share