Efatha Church- MBEYA

Efatha Church- MBEYA Efatha Church Mbeya: Healing & Deliverance by the Blood of JESUS CHRIST. Administered by Pastor Joshua J. Mwingira. Joshua J.

Mwingira is our Senior Pastor at Efatha-Mbeya.

UKIRI WA SIKU. NAIBARIKI JUMATANO YANGU. Mimi ni Mrithi, Mimi ni Mfalme, Mimi ni Mmiliki, Mimi ni Mtawala, Mimi Nimebari...
12/08/2026

UKIRI WA SIKU.

NAIBARIKI JUMATANO YANGU.

Mimi ni Mrithi, Mimi ni Mfalme, Mimi ni Mmiliki, Mimi ni Mtawala, Mimi Nimebarikiwa na BWANA.

Haleluya, Asante YESU.

Jumatano yangu Imebarikiwa na BWANA.

UKIRI WA SIKU:NAIBARIKI JUMANNE YANGU.Mimi pamoja na familia yangu tunaishi na kudumu katika pendo la Mungu.
11/08/2026

UKIRI WA SIKU:

NAIBARIKI JUMANNE YANGU.

Mimi pamoja na familia yangu tunaishi na kudumu katika pendo la Mungu.

11/08/2026

Kutoka Mbeya mpaka Temeke. safari ya imani, umoja na huduma.
Tulianza safari tukiwa wanakwaya, tukielekea Temeke kwa ajili ya semina. Haikuwa safari ya kawaida, bali ni hatua nyingine ya kujifunza, kushirikiana na kujiandaa zaidi kwa ajili ya kumtumikia Mungu kupitia huduma ya uimbaji.
Safari inaweza kuwa ndefu, lakini tunapoenda kwa kusudi, kila hatua ina maana.
Huduma MunguMbele

Wewe ni Baba yangu, ni Mungu wangu, nakuabudu. Mimi bila Wewe si kitu. Wengi walitamani kuiona siku ya leo, lakini hawaj...
11/08/2026

Wewe ni Baba yangu, ni Mungu wangu, nakuabudu. Mimi bila Wewe si kitu. Wengi walitamani kuiona siku ya leo, lakini hawajaiona; mimi, kwa neema yako, umenipa uhai na uzima.

Umetunza familia yangu, umeniepusha na ajali, umeondoa kila uharibifu na mitego ya ibilisi kwangu.

Asante Mungu kwa upendo wako upitao upeo kwenye maisha yangu.

Mchungaji,Joshua Josephat Mwingira.

Mchungaji Kiongozi,Kanisa La Efatha Mbeya.

Mkesha wa baraka ukiendelea huku waimbaji wakijiandaa kwa mazoezi na maandalizi ya huduma. Matukio katika picha usiku wa...
11/08/2026

Mkesha wa baraka ukiendelea huku waimbaji wakijiandaa kwa mazoezi na maandalizi ya huduma.

Matukio katika picha usiku wa ibada sifa na uwepo wa Mungu.

NI WAKATI WA KUFANANA NA MUNGU KIUTENDAJIšŸ”„Mbagala, Nuru ya Kristo imewajilia! Kanisa la Efatha Mbagala kwa kushirikiana ...
10/08/2026

NI WAKATI WA KUFANANA NA MUNGU KIUTENDAJIšŸ”„

Mbagala, Nuru ya Kristo imewajilia!

Kanisa la Efatha Mbagala kwa kushirikiana na Efatha Mbeya tunawaletea Semina ya Udhihirisho wa Mungu.

šŸ™ Siku 3 za Uponyaji, Ukombozi na Kufunguliwa.

Walete wagonjwa, wenye changamoto za maisha na wote wanaohitaji kuguswa na Mungu.

✨ Mambo mapya yanaenda kutokea Mbagala! Usikose!

K**a una ndugu au jamaa anayeishi Mbagala Neema yake imemfikia usiache kumtaarifu.

Tufuatilie mubashara kupitia Efatha TV .

Asante sana kwa wote mliofanikiwa kufika kwenye Kongamano la Uponyaji na Ukombozi, pamoja na wote mliofanikiwa kutufuati...
10/08/2026

Asante sana kwa wote mliofanikiwa kufika kwenye Kongamano la Uponyaji na Ukombozi, pamoja na wote mliofanikiwa kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii. Mungu awe pamoja nanyi.

MUHIMU: Hakikisha unatunza uponyaji na ukombozi ulioupokea.

SOMO:HOFUMungu tayari ametubariki kwa baraka zote  lakini kwanini hatupokei baraka za Mungu kwenye maisha yetu .,Ni kwas...
10/08/2026

SOMO:HOFU

Mungu tayari ametubariki kwa baraka zote lakini kwanini hatupokei baraka za Mungu kwenye maisha yetu .,Ni kwasababu ya Hofu hofu inakuondoa kwenye nafasi yako ya kuwa wana wa Mungu na kukuchelewesha kupokea baraka ambazo zipo tayari kwa ajili yako.

hofu haisemi kuwa Mungu hayupo ila unakosa uhakika je ni kweli Mungu atanitokea

Hofu inaharibu taswira ya kule unapotakiwa ufike

Hofu na Imani viko sambamba katika utendaji wa kazi .

Hofu inaangalia hali ya sasa lakini Imani inaangalia ubadae wako.

Hofu inaangalia yale yanayoonekana tu ila Imani ni kuwa na uhakika ya mambo yasionekana

Hofu inakizana na imani hivyo inakusababisha usikutane na Mungu kwenye maisha yako.

Kataa kuishi maisha ya hofu maana hofu uzaa maumivu,mateso ,majuto,.

Mchungaji:Joshua Josephat Mwingira.

Mchungaji Kiongozi,Kanisa La Efatha Mbeya.

Tunakusifu kwa wema wako,Tunakushukuru kwa rehema zako,maana upendo wako hauna mwisho.SIKU YA TANO YA KONGAMANO LA UPONY...
09/08/2026

Tunakusifu kwa wema wako,
Tunakushukuru kwa rehema zako,maana upendo wako hauna mwisho.

SIKU YA TANO YA KONGAMANO LA UPONYAJI NA UKOMBOZI.

KANISA LA EFATHA MAFINGA.

Tunakuabudu, Mungu Mtakatifu, Wewe ambaye ubaba wote unaitika kwako. Hakuna wa kulinganishwa na Wewe Mtakatifu.SIKU YA T...
09/08/2026

Tunakuabudu, Mungu Mtakatifu, Wewe ambaye ubaba wote unaitika kwako.

Hakuna wa kulinganishwa na Wewe Mtakatifu.

SIKU YA TANO YA KONGAMANO LA UPONYAJI NA UKOMBOZI.

KANISA LA EFATHA MAFINGA.

Address

New Forest
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church- MBEYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church- MBEYA:

Shortcuts

Share