Eagt rhema temple mbeya

Eagt rhema temple mbeya ni kanisa LA kipentekoste linalosimamiwa na mchungaji mwakafwila na mkewe suma mwakafwila k**a mnavyowaona karubuni church

02/02/2021

Kwa sasa tunamaumivu kwa kuondokewa na mchungaji wetu baba uswege mwakafwila aliyefariki 30/1/2021 Tumempumzisha leo bwana ametoa na ametwaa jina la bwana libarikiKwa sasa tunamaumivu kwa kuondokewa na mchungaji wetu baba uswege mwakafwila aliyefariki 30/1/2021 Tumempumzisha leo bwana ametoa na ametwaa jina la bwana libarikiwe

HUU NI MWAKA MZURI WA BWANA TUNAANZA NA SOMO KUTOKA KITABU CHA MITALI 18:20-21 KIRI KWA IMANI LILE ULILOOMBA ILI ULIPOKE...
02/01/2021

HUU NI MWAKA MZURI WA BWANA TUNAANZA NA SOMO KUTOKA KITABU CHA MITALI 18:20-21 KIRI KWA IMANI LILE ULILOOMBA ILI ULIPOKEE
NIWATAKIE HERI YA MWAKA MPYA WA BARAKA 2021
BY PASTOR USWEGE MWAKAFWILA

Nakutakia jumapili njema yenye baraka za bwana K**a waamini sema amen By pastor Uswege Mwakafwila
06/12/2020

Nakutakia jumapili njema yenye baraka za bwana K**a waamini sema amen
By pastor Uswege Mwakafwila

05/12/2020

NITOE PONGEZI KWA WEWE ULIYELIKE PAGE HII NI KITAMBO HATUKUWA NA MFULULIZO WA MASOMO KUTOKANA NA MAMBO YALIYOKUWA NJE YA UWEZO WETU ILA KUANZIA LEO TUTAENDELEA NA MASOMO MBALIMBALI NA MUNGU ATAWABARIKI

Watu wote mnakaribishwaSana hi so ya kukosa kanisa
22/10/2020

Watu wote mnakaribishwa
Sana hi so ya kukosa kanisa

Bado unaendeleaje kukaribishwa kwenye mkutano was injili na Yes mtenda miujiza atakuhudumia
28/08/2020

Bado unaendeleaje kukaribishwa kwenye mkutano was injili na Yes mtenda miujiza atakuhudumia

NICHUKUE FULSA HII KUOMBA MSAMAHA KWA KUTOKUENDELEZA MASOMO KWA WAKATI KUTOKANA NA KUINGILIA A KWA MAMBO MUNGU AKITUJALI...
26/07/2020

NICHUKUE FULSA HII KUOMBA MSAMAHA KWA KUTOKUENDELEZA MASOMO KWA WAKATI KUTOKANA NA KUINGILIA A KWA MAMBO MUNGU AKITUJALIA TUTAENDELEA WIKI IJAYO MUNGU AWABARIKI SANA

Ilikuwa siku njema Sana neno lilitoka isaya 66:1-2
24/06/2020

Ilikuwa siku njema Sana neno lilitoka isaya 66:1-2

SOMO:MAISHA YA IBADA KATIKA ROHOMWALIMU: SALOME U MWAKAFWILASEHEMU YA 2Namshukuru Mungu kwa ajili yako wewe unayemtafuta...
12/06/2020

SOMO:MAISHA YA IBADA KATIKA ROHO
MWALIMU: SALOME U MWAKAFWILA
SEHEMU YA 2
Namshukuru Mungu kwa ajili yako wewe unayemtafuta Mungu na kutafuta maarifa ya kumjua Mungu Mungu akubariki
Tumekuwa tukijifunza somo la maisha ya ibada katika roho
Tulikuwa tukiendelea kujifunza kwa nini tunamwabudu Mungu katika roho
Tunamwabudu Mungu katika roho kwa sababu yeye Ni Mungu haonekani kwa macho ya nyama tunamuona Mungu kwa imani kupitia roho mtakatifu tusipokuwa na roho mtakatifu hakuna ibada halisia katika roho mtakatifu kwa sababu yeye Ni roho na ili tukutane naye tunakutana naye rohoni na Mungu anatafuta watu K**a hao maana watu hao wameadimika kwa sasa watu wamekuwa bize na Mambo yao kuliko kutafuta kumjua Mungu napenda kusema ukiupa mwili nafasi hutaweza kumwona Mungu Wala kumwabudu Mungu kiufasaha maana hakuna mtu awezaye kutumikia falme mbili kwa wakati mmoja
Hauwezi kufanya mapenzi ya mwili na ya roho tukisoma
Wagalatia 5:16-26
Tunaona mwili na roho huwa vinashindana kile unachokipa nafasi kubwa ndicho hukuongoza K**a Ni mwili au roho tunaona ukiupa mwili nafasi kufanya mapenzi ya Mungu Ni ngumu na kumwabudu Mungu Ni ngumu Sana ila ukimpa nafasi roho mtakatifu kufanya mapenzi ya Mungu Ni rahisi Sana maana hutakuwa chini ya sheria Bali chini ya roho mtakatifu na ndio maana biblia inasema tuitoe miili yetu iwe dhabihu ya kumpendeza Mungu Katika kitabu Cha Warumi 12:1-2
Na ndio maana unapompokea roho mtakatifu unapata nguvu ya kuushinda mwili na ndipo unapoanza kumjua Mungu na kumwabudu Mungu Katika roho na kweli na pia hutufundisha yatupasayo kuyafanya k**a watoto was Mungu
Tukisoma yohana 14:16
Msaidizi wetu Ni roho mtakatifu
Hutufundisha kumpendeza Mungu kumwabudu Mungu na kufanya mapenzi ya Mungu makamilifu
K**a mwamini hakikisha una roho mtakatifu ili uwe na ibada hai katika maisha yako
Barikiwa Sana tunaendelea kujifunza wakati mwingine
Naamini ROHO MTAKATIFU kukufundisha Jambo kubwa barikiwa

SOMO:MAISHA YA IBADA KATIKA ROHOMWALIMU:SALOME .U. MWAKAFWILASEHEMU YA 1Namshukuru Mungu Mungu muumbaji wa mbingu na nch...
02/06/2020

SOMO:MAISHA YA IBADA KATIKA ROHO
MWALIMU:SALOME .U. MWAKAFWILA
SEHEMU YA 1
Namshukuru Mungu Mungu muumbaji wa mbingu na nchi kwa nafasi ya kukufundisha Jambo hili ili upate maarifa Mungu akubariki Sana utakayejifunza pamoja nami
Mtu yoyote anayemcha Mungu maisha ya ibada Ni sehemu ya maisha yake mda wowote kwa sababu ibada kwake Ni K**a kupumua huwa hai ndani yake mda wowote humuwaza Mungu na kumuona Mungu katika Kila Jambo tunamuona ayubu alikuwa mtu anayemcha Mungu tukisoma Ayubu1:1
Ayubu alikuwa mtu aliyemcha Mungu alikuakimtolea Mungu Kila wakati tunaona Ayubu 1:6
Tunaona Ayubu alimwona Mungu maeneo yote hata kwenye magumu yake tunaona Ayubu 1:21 ,Ayubu 2:10
NINI MAANA YA IBADA
Ibada Ni kitendo Cha kumwabudu Mungu kumuweka mbele kuliko chochote katika roho MAANA pasipokuwa mtu wa rohoni kumwabudu Mungu Ni ngumu Sana bila kuingia na kuwa na roho mtakatifu hakuna ibada halisia biblia inasema tukisoma
Yohana 4:21-24
Inasema MUNGU Ni ROHO na wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika ROHO na kweli tunamuona Mungu na kumsikia KUPITIA ulimwengu wa ROHO nje ya kuwa rohoni na kuwa na ROHO MTAKATIFU
Hutokaa kuweza katika maisha yako ya wokovu kwa sababu tunakutana na Mungu KUPITIA ulimwengu wa roho
Tukimwabudu Mungu kwa kutanguliza Mambo yetu tunakuwa tayari tumeingia kwenye ibada ya sanamu
Ambayo Ni ibada ya sanamu Ni chukizo kwa Mungu
Tukisoma
Kutoka 20:1-5
Kwa Nini tunamwabudu Mungu katika roho
Tunaendelea wakati mwingine
Mubarikiwe

Address

P. O. BOX 2357 MBEYA
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eagt rhema temple mbeya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category