Nabii katakata ministries

Nabii katakata ministries Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nabii katakata ministries, Religious organisation, Mbeya.

26/09/2025

Ubarikiwe shujaa

Furaha ni dawa daima
07/07/2025

Furaha ni dawa daima

πŸ“ πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua aliyekuwa kocha Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi kuwa kocha...
03/07/2025

πŸ“ πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua aliyekuwa kocha Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Taarifa ya leo Julai 03, 2025 iliyotolewa na klabu hiyo imebainisha kuwa aliyekuwa kocha mkuu David Ouma na Kocha Moussa N’Daw watakuwa Makocha Wasaidizi wa kocha huyo raia wa Argentina.

β€œWakati huo huo, Mabadiliko haya katika Benchi la Ufundi yamefanywa na Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026.”— imesema sehemu ya taarifa hiyo.

06/02/2025

Baraka Kwa Tanzania Mungu ailinde mamlaka ya Tanzania

10/12/2024

The hour of the sons of the kingdom
Saa ya wana wa ufalme

Tunaendelea na kongamano letu kubwa karibu sana na tunamuona MUNGU kwa ukubwa bado hujachelewa karibu sanaa
17/10/2024

Tunaendelea na kongamano letu kubwa karibu sana na tunamuona MUNGU kwa ukubwa bado hujachelewa karibu sanaa

19/09/2024
Unakosaje Kwa mfano mtu unaempenda Mungu k**a wewe kwenye kongamano la wapakwa mafuta K**a hawa ! Unakosaje? Usipange ku...
19/09/2024

Unakosaje Kwa mfano mtu unaempenda Mungu k**a wewe kwenye kongamano la wapakwa mafuta K**a hawa ! Unakosaje? Usipange kukosa popote ulipo DUNIANI

Pastor Deniss Kiwali atakuwepo.....
08/09/2024

Pastor Deniss Kiwali atakuwepo.....

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nabii katakata ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share