Jehovah Rapha Ministry Mbeya

Jehovah Rapha Ministry  Mbeya Jehovah Rapha Ministry ni kanisa la kiroho lipo Mbeya mjini Ivumwe
lipo chini ya mchungaji Samwel s.

Mmasa karibu sana uabudu nasi,tutafurahi ukifika na kukuona

UJUMBE WA LEO Zaburi 15:1-3BWANA, ni nani atakayekaa. Katika hema yako? Ni nani atakayefanya maskani yake Katika kilima ...
27/06/2025

UJUMBE WA LEO Zaburi 15:1-3BWANA, ni nani atakayekaa. Katika hema yako? Ni nani atakayefanya maskani yake Katika kilima chako kitakatifu? Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki. Asemaye kweli kwa moyo wake, Asiyesingizia kwa ulimi wake. Wala hakumtenda mwenziwe mabaya, Wala hakumsengenya jirani yake. 👉🏻Zaburi hii inafafanua sifa za mtu anayestahili kukaa katika hema ya Mungu: ni mtu wa…...

UJUMBE WA LEOZaburi 15:1-3BWANA, ni nani atakayekaa. Katika hema yako? Ni nani atakayefanya maskani yake Katika kilima chako kitakatifu? Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki. Asemaye kweli…

VITA WAEFESO 6:12-13Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wak...
21/05/2025

VITA WAEFESO 6:12-13Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama. ✔Ni mara ngapi umepitia katika VITA na kupambana mwenyewe?...

VITAWAEFESO 6:12-13Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.Kwa sa…

KUNA SHIDA MAHALI Ukweli Wa Mambo Ni Kwamba, “UKIMPATA YESU UMEPATA JIBU LA MAISHA” Au Kwa Lugha Nyepesi, “UKIMPATA YESU...
21/05/2025

KUNA SHIDA MAHALI Ukweli Wa Mambo Ni Kwamba, “UKIMPATA YESU UMEPATA JIBU LA MAISHA” Au Kwa Lugha Nyepesi, “UKIMPATA YESU UMEPATA VYOTE” Lakini Kwakweli, Mbali Ya Kwamba Wako Wakristo Wengi Ambao “WAMEOKOKA” Na “WANA YESU NDANI YAO NA MAISHANI MWAO” Lakini Bado Maisha Yao “HAYAONESHI KWAMBA WAMEPATA JIBU KATIKA MAMBO YOTE” Na Bado “WANAHANGAIKA KANA KWAMBA YESU HANA MAJIBU YA MAISHA KWENYE MAENEO YOTE”… Zifuatazo Ni Baadhi Ya Sababu Ambazo Zinafanya “YESU ASIWE JIBU KWENYE MAENEO YOTE YA MAISHA YA WAKRISTO WENGI”….:...

KUNA SHIDA MAHALI Ukweli Wa Mambo Ni Kwamba, “UKIMPATA YESU UMEPATA JIBU LA MAISHA” Au Kwa Lugha Nyepesi, “UKIMPATA YESU UMEPATA VYOTE” Lakini Kwakweli, Mbali Ya Kwamba Wako Wakristo W…

Sikiliza
16/01/2025

Sikiliza

Visit the post for more.

Maombi ya kufunga
16/01/2025

Maombi ya kufunga

Visit the post for more.

NDOA YA MKRISTO sehemu ya piliKaribu mpendwa tuendelee kujifunza tulipo ishia jana…. Hatua tatu za msingi katika ndoa👇🏻 ...
15/01/2025

NDOA YA MKRISTO sehemu ya piliKaribu mpendwa tuendelee kujifunza tulipo ishia jana…. Hatua tatu za msingi katika ndoa👇🏻 1.KUWAACHA WAZAZI. Kuwaacha wazazi au walezi haimaanishi kuwakataa wazazi au kuwatelekeza. Neno la Mungu katika kitabu cha Kutoka 20:12; Marko 7:9-13 linatueleza kuwa inatupasa kumaheshimu wazazi wetu. Haishii hapo, ila tunaelezwa kuwa hii ndiyo amri yenye kuambatana na ahadi ya kuwa na maisha marefu....

NDOA YA MKRISTO sehemu ya piliKaribu mpendwa tuendelee kujifunza tulipo ishia jana…. Hatua tatu za msingi katika ndoa👇🏻 1.KUWAACHA WAZAZI. Kuwaacha wazazi au walezi haimaanishi kuwakataa wazazi au …

NDOA YA MKRISTO Shemu ya kwanza Bwana Yesu asifiwe sana!Karibu katika mfululizo wa somo hili tujifunze kwa Sehemu kuhusu...
15/01/2025

NDOA YA MKRISTO Shemu ya kwanza Bwana Yesu asifiwe sana!Karibu katika mfululizo wa somo hili tujifunze kwa Sehemu kuhusu ndoa, ili kuweza kuziimarisha ndoa zetu. BAADHI ya watu, mila na tamaduni za siku za leo huliona swala la kufunga ndoa kuwa ni jambo lililopitwa na wakati, na hivyo si muhimu kwao. Mtazamo huo kuhusu ndoa unatokana na mambo kadhaa wa kadhaa k**a vile kuogopa majukumu yanayoambatana na ndoa, gharama za ndoa, haki za kisheria endapo ndoa itavunjika nk....

NDOA YA MKRISTO Shemu ya kwanza Bwana Yesu asifiwe sana!Karibu katika mfululizo wa somo hili tujifunze kwa Sehemu kuhusu ndoa, ili kuweza kuziimarisha ndoa zetu. BAADHI ya watu, mila na tamaduni za…

*NENO LA LEO, 11 JAN 2025*Mathayo 18:20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo ...
10/01/2025

*NENO LA LEO, 11 JAN 2025*
Mathayo 18:20
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
✍🏾 Kila unapoazimia ndani yako kukusanyika pamoja na wapendwa wenzio kwa ajili ya kumfanyia Mungu ibada au maombi au jambo lolote lenye kubeba utukufu wa Mungu, mahali hapo Uwepo wa Mungu hudhihirika. Usiache kukusanyika kwa utukufu wa Mungu wetu wa mbinguni.

*NENO LA LEO, 04 JAN 2025*Yeremia  1:5  Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa...
04/01/2025

*NENO LA LEO, 04 JAN 2025*
Yeremia 1:5
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
✍🏾Mungu hajakuumba kwa bahati mbaya, amekuumba kwa kusudi maalumu na kakuweka katika ulimwengu ili ulitimize kusudi,Unayo thamani mbele za Mungu na amekukirimia neema ya kipekee, itumie ili kutimiza kusudi lako hapa duniani.

*NENO LA LEO, 03 JAN 2025*WAGALATIA 1:23-24  ila wamesikia tu ya kwamba huyo aliyetuudhi hapo kwanza, sasa anaihubiri im...
03/01/2025

*NENO LA LEO, 03 JAN 2025*
WAGALATIA 1:23-24
ila wamesikia tu ya kwamba huyo aliyetuudhi hapo kwanza, sasa anaihubiri imani ile aliyoiharibu zamani. Wakamtukuza Mungu kwa ajili yangu.
✍🏾Amua sasa kubadili mwelekeo wako katika njia zako,Badili vile unavyoenenda na vile unavyofanya ambapo unajua kabisa Mungu hapendezwi. Kugeuka kwako kutafanya wengi wamtukuze Mungu,using'ang'ane na mwenendo wa zamani.
Mabadiliko ni sasa,Mungu atujalie Neema ya kubadilika.

Address

Ivumwe
Mbeya

Opening Hours

Friday 17:00 - 01:00
Saturday 17:00 - 01:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jehovah Rapha Ministry Mbeya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Jehovah Rapha Ministry Mbeya:

Share