Prophet Bright Mashauri Mfinanga/Shiloh international ministry Mbeya Branch

  • Home
  • Tanzania
  • Mbeya
  • Prophet Bright Mashauri Mfinanga/Shiloh international ministry Mbeya Branch

Prophet Bright Mashauri Mfinanga/Shiloh international ministry Mbeya Branch Our page is based on the announcement of the Lord all over the world.

Yesu yu mwema kwao wamchao
04/04/2018

Yesu yu mwema kwao wamchao

Ni Upako tu wa my Baba  prophet Frank. Julia's kilawa
14/09/2017

Ni Upako tu wa my Baba prophet Frank. Julia's kilawa

Niupako tu kutoka kwa Baba zetu wapendwa ndani ya Naijeria
31/08/2017

Niupako tu kutoka kwa Baba zetu wapendwa ndani ya Naijeria

31/08/2017
25/04/2017

Shalom Mungu tu Mwema kwetu

09/04/2017

Shalom, usikose kushiriki nasi ibada ya leo jumapili itakayoanza saa 5 kamili asubuhi hapa Mbeya nyuma ya mashine za Mpunga kabwe

SHUHUDA    Jackline Makweta,  mkazi wa block-t Mbeya.... Napenda kumshukuru Mungu kwa uponyaji nilioupata " mimi ni mwan...
22/03/2017

SHUHUDA
Jackline Makweta, mkazi wa block-t Mbeya.... Napenda kumshukuru Mungu kwa uponyaji nilioupata " mimi ni mwanafunzi na nnakaa bweni mnamo mwezi wa pili wa mwaka 2017 mimi na wanafunzi wenzangu 15 tuliugua au tulipatwa na ugonjwa usioeleweka maana tuliishiwa nguvu na kuanza kishindwa kutembea, tulipopelekwa hospitali tuliambiwa tuwe tunafanya mazoezi tatizo litaisha. Tuliporudi shule hali ilizidi kuwa mbaya tukarudishwa majumbani, nililetwa kanisani na bibi angu nikaombewa na kupewa chumvi ya mifupa sasa nimepona kabisa. Utukufu kwa Bwana

Ibada ya leo ilikuwa nzuri sana tumesifu na kuabudu kwa Mungu wetu wa Mbinguni hakuna aliye k**a yeye..... Ubarikiwe san...
19/03/2017

Ibada ya leo ilikuwa nzuri sana tumesifu na kuabudu kwa Mungu wetu wa Mbinguni hakuna aliye k**a yeye..... Ubarikiwe sana

Shalom watoto Wa Nabii Frank JK tuungane pamoja kuombea mkutani Wa kyela mbeya
09/03/2017

Shalom watoto Wa Nabii Frank JK tuungane pamoja kuombea mkutani Wa kyela mbeya

09/03/2017

Shalom Nimeonyeshwa mvua kubwa inakuja katika maeneo ya ukanda Wa pwani na kusababisha nyumba kubomoka na mashamba kuharibika omba usipatwe na mazara na mlio mabondeni jipangeni

Shalom nakuombea uwe na furaha wiki hii yote huzuni ikuwache sema Amina naiwe hivyo katika Jina la Yesu
21/02/2017

Shalom nakuombea uwe na furaha wiki hii yote huzuni ikuwache sema Amina naiwe hivyo katika Jina la Yesu

Shalom watoto wangu wa kiroho Yesu hakufufuka na sanda waliyomzika nayo wana na vidonda alivyokuwa navyo nakutabiria leo...
13/02/2017

Shalom watoto wangu wa kiroho Yesu hakufufuka na sanda waliyomzika nayo wana na vidonda alivyokuwa navyo nakutabiria leo mavazi yote waliyokuvisha watu na wachawi hayatakuwa na nguvu ya kukushikilia wala vidonda vyote walivyo kupatia vitapona ghafla tamka mara saba kwanguvu ukisema Nguvu ya ufufuo iliyomfufua Yesu kaburini ikanifufue sasa hivi katika Jina la Yesu ukishamaliza utaona nguvu ya Mungu ikikushukia na kukufungua umshukuru Mungu kwa dakika kumi fanya utafunguliwa

Address

Mbeya
AIRPORT

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Bright Mashauri Mfinanga/Shiloh international ministry Mbeya Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Prophet Bright Mashauri Mfinanga/Shiloh international ministry Mbeya Branch:

Share