Pastor Evance Msamati

Pastor Evance Msamati Pastor Evance Msamati
Administrator of
🏅Mentor🏅Lifecoach🏅Author

12/12/2025
Utukufu kwa Mungu wetu aliye juu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
31/08/2024

Utukufu kwa Mungu wetu aliye juu🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Efatha church Leaders Camp 2024
30/03/2024

Efatha church Leaders Camp 2024

Ilikuw ni siku ya kuzihirisha Ukuu wa Mungu tena   Mungu ame warizia wanangu Mmbebatizw kwa Damu ya Yesu
25/03/2024

Ilikuw ni siku ya kuzihirisha Ukuu wa Mungu tena
Mungu ame warizia wanangu Mmbebatizw kwa Damu ya Yesu

Karibu katika Ibada Mungu aka kukumbuke Wewe na Vizazi vyako Utokapo na Uingiapo ukabarikiwe.......
17/03/2024

Karibu katika Ibada Mungu aka kukumbuke Wewe na Vizazi vyako Utokapo na Uingiapo ukabarikiwe.......

Jifunze kuik**ata siku yako na kuitamkia baraka hata k**a mambo yameanza vibaya.    Kwa nguvu za Mungu tunashinda
15/03/2024

Jifunze kuik**ata siku yako na kuitamkia baraka hata k**a mambo yameanza vibaya.
Kwa nguvu za Mungu tunashinda

MAJIRA NA NYAKATI  Katika kila jambo kuna majira na nyakati zake. Muda ndio unaotoa majibu ya kila kitu, hivyo muda hauw...
15/03/2024

MAJIRA NA NYAKATI
Katika kila jambo kuna majira na nyakati zake. Muda ndio unaotoa majibu ya kila kitu, hivyo muda hauwahi wala hauchelewi.
Mazingira yoyote unayopitia, inawezekana umejitahidi sana lakini bado yapo pale pale, umeomba sana unaona bado yapo pale pale. Nataka nikutie moyo leo, ipo siku, saa, dakika na sekunde ambayo hilo jambo linalosumbua akili yako kumalizika kabisaaaaa....!!!
Muda ndio unaoongea, usiache kuomba, usiache kulichuchumalia na kuliatamia ushindi upo katika jina la Yesu.
Ameeeeeennn!!!!!!!

Address

Mbeya
LILONDO-SONGEA(MADABA)

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Evance Msamati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share