Thankyou Rojasi

Thankyou Rojasi +255 753 111 969

Crusede
17/02/2026

Crusede

17/02/2026
Mkutano kapunga jumapili tahe25/1/2025 tanzani
22/01/2026

Mkutano kapunga jumapili tahe25/1/2025 tanzani

MUNGU  NI MKUU KULIKO  VITU VYOTE DUNIAN KOTE INAJUWA  MUNGU NI VYOTE
12/09/2025

MUNGU NI MKUU KULIKO VITU VYOTE
DUNIAN KOTE INAJUWA MUNGU NI VYOTE

22/07/2025

Evangelist thankyou rojas from mbeya tanzania

22/07/2025

Ujenzi moto kapunga

22/07/2025

Hekaru ujenzi mbeya tanania

22/07/2025

Injli uzma

Mungu mkuu sanaa
22/07/2025

Mungu mkuu sanaa

Shida atusomi biblia tujuwe ukweli hasa  Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyoSiwaiti tena watumwa; kwa maana...
22/04/2025

Shida atusomi biblia tujuwe ukweli hasa Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo
Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.

20/01/2025

Mungu akisema amesema

Zabuli 105:1___Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake,wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye...
14/12/2024

Zabuli 105:1___Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake,
wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.
Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa,
waambieni matendo yake yote ya ajabu.
Lishangilieni jina lake takatifu,
mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi.
Mtafuteni Bwana na nguvu zake,
utafuteni uso wake siku zote.
enyi wazao wa Abrahamu mtumishi wake,
enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
agano alilolifanya na Abrahamu,
kiapo alichomwapia Isaki.
Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele:
“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani
kuwa sehemu utakayoirithi.”
Hakuruhusu mtu yeyote awaonee;
kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:
“Msiwaguse niliowatia mafuta;
msiwadhuru manabii wangu.”
Zaburi 105:1-4, 6, 9-11, 14-15

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thankyou Rojasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share