26/02/2026
βπ₯ KARIBU KATIKA IBADA MAALUM YA KUEPUSHWA NA KUINGIA KWA KINABIIβ MWEZI WA MARCH! π₯
βπ
Tarehe: 1 March 2026
β
βNjoo tuanze mwezi kwa neno la Mungu, maombi na imani, tukitangaza ushindi juu ya maisha yetu!
β
ββ¨ MADA: KUEPUSHWA NA KUINGIA KWA KINABII
β
β1οΈβ£ Kuepushwa Dhidi ya Magonjwa
βπ Kutoka 15:26 ......mimi sitatia juu yako maradhi yo yote niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi Bwana nikuponyaye.
β
β2οΈβ£ Kuepushwa Dhidi ya Ajali na Maafa
βπ Zaburi 121:7 Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
β
β3οΈβ£ Kuepushwa Katika Uchumi
βπ Zaburi 37:19 Hawataaibika wakati wa ubaya, Na siku za njaa watashiba.
β
β4οΈβ£ Kuepushwa Dhidi ya Mashambulizi ya Adui
βπ Isaya 54:17 Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana.
β
βπ Karibu sana Winners Chapter international Mbalizi - Tarafani! Andaa moyo wako kwa IMANI. Ukifanya hivyo, ujue kuwa Mungu amesikia kilio chako.
βπ’ Usikose! Mwalike na mwenzako β ushindi ni wako katika jina la Yesu!