Vijana B Rungwe Moravian Cathedral

Vijana B Rungwe Moravian Cathedral Karibu kwenye ukurasa rasmi wa Kwaya ya Vijana B Rungwe Moravian Cathedral

14/05/2025

Asante sana kwa wote mnaoendelea kutufuatilia, mambo mazuri yaja hivi karibuni.

Tunakwenda Kuinjilisha Songea katika Ushirika wa Msamala kwa Mch. Kaduma.
07/04/2025

Tunakwenda Kuinjilisha Songea katika Ushirika wa Msamala kwa Mch. Kaduma.

08/12/2024

Mapema leo tukiwa Ibadani hapa Ushirika wa Rungwe.

Ibada ya Kipaimara hapa Kanisa la Moravia Ushirika Rungwe hii hapa. Nasi tuliimba katika Ibada hii yenye baraka nyingi.
03/11/2024

Ibada ya Kipaimara hapa Kanisa la Moravia Ushirika Rungwe hii hapa. Nasi tuliimba katika Ibada hii yenye baraka nyingi.

Tafadhali usiache kusubscribe channel hii.

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vijana B Rungwe Moravian Cathedral posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Vijana B Rungwe Moravian Cathedral:

Share