Klpt Salem

Klpt Salem Contacts 0756906088
IBADA ZETU. Jumanne na Ijumaa 10:00-11:30 Jioni
Jumapili saa 3:30-6:30 Mchana

Karibu katika ibada jumapili hii, tumuabudu Mungu wetu kwa pamoja. Pia unaweza kufuatilia ibada zetu kwenye youtube chan...
29/05/2026

Karibu katika ibada jumapili hii, tumuabudu Mungu wetu kwa pamoja. Pia unaweza kufuatilia ibada zetu kwenye youtube channel ya Klpt Salem. Ubarikiwe

Karibu katika semina ya pentekoste na ujazo wa Roho mtakatifu
19/05/2026

Karibu katika semina ya pentekoste na ujazo wa Roho mtakatifu

Shalom wapendwa tunawakaribisha katika ibada hii kubwa itakayofanyika siku ya kesho KLPT salem Uyole Mbeya. Kwa tuliopo ...
16/05/2026

Shalom wapendwa tunawakaribisha katika ibada hii kubwa itakayofanyika siku ya kesho KLPT salem Uyole Mbeya. Kwa tuliopo mbali unaweza kuungana nasi moja kwa youtube channel yetu ya Klpt salem. Ubarikiwe sana

07/12/2025
Bado siku tatu (3), karibu sana
13/11/2025

Bado siku tatu (3), karibu sana

Usipange kukosa ibada hii. Ubarikiwe sana
11/11/2025

Usipange kukosa ibada hii. Ubarikiwe sana

Numbers 6:24-26“The Lord bless you and keep you; the Lord make his face shine on you and be gracious to you; the Lord tu...
24/10/2025

Numbers 6:24-26
“The Lord bless you and keep you; the Lord make his face shine on you and be gracious to you; the Lord turn his face toward you and give you peace.”

Tunakukaribisha katika semina hii kanisani klpt salem, Lakini waweza kutufuatilia katika youtube channel yetu ya KlptSal...
03/06/2025

Tunakukaribisha katika semina hii kanisani klpt salem, Lakini waweza kutufuatilia katika youtube channel yetu ya KlptSalem

Address

Nsalaga
Mbeya
ARNOLD

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Klpt Salem posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share