El Gospel Power

  • Home
  • El Gospel Power

El Gospel Power Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from El Gospel Power, Full Gospel Church, .

30/07/2025

Song: EL GOSPEL POWER

"Tunahubiri Nguvu ya Mungu Kupitia Injili"

"Usiionee aibu Injili hata kidogo, ukipata neema ya afya na uhai chapa Injili"
29/07/2025

"Usiionee aibu Injili hata kidogo, ukipata neema ya afya na uhai chapa Injili"

Coming Soon....
28/07/2025

Coming Soon....

El Gospel Power Online TV ni Televisheni mpya ya mtandaoni inayojikita katika kuhubiri na kutangaza Injili ya Yesu Krist...
28/07/2025

El Gospel Power Online TV ni Televisheni mpya ya mtandaoni inayojikita katika kuhubiri na kutangaza Injili ya Yesu Kristo kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu. Imebeba dhamira ya kuleta mapinduzi makubwa katika ulimwengu wa Online TV za Injili, kwa kutumia teknolojia ya kisasa, vipindi vyenye ubunifu, na sauti ya kipekee ya kiroho kwa kizazi cha sasa.

El Gospel Power haijaanzishwa tu k**a chombo cha habari njema, bali k**a jukwaa la kuinua huduma, kuinua vipaji vya kiinjilisti, na kufikia mataifa kwa Neno la Mungu.

Online TV hii itaanza rasmi kufanya kazi hivi karibuni ikiwa imejipanga vyema kuwa sauti mpya ya nguvu ya Mungu katika mitandao ya kijamii na ulimwengu wa kidigitali.

El Gospel Power – Preach the Power of God Through the Gospel.

Address


Telephone

+255748104700

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when El Gospel Power posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to El Gospel Power:

  • Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship?

Share