Jasusi la mbinguni media

Jasusi la mbinguni media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jasusi la mbinguni media, Christian church, 664, Mbeya.

25/07/2026
07/07/2026

Mr Tanzania

*HAMPHREY MOTORS*06894477680749326051Tuna Nunua magari used , pia tuna vunja vunja maboss zetu , tuna wapendeni sana kar...
24/05/2026

*HAMPHREY MOTORS*
0689447768
0749326051

Tuna Nunua magari used , pia tuna vunja vunja maboss zetu , tuna wapendeni sana karibu sana *K**A UNA UZA GARI LAKO TUPIGIEE*

07/09/2025
Katika Qur’an Tukufu, Allah amesema “kwamba yeyote aliyeua mtu ambaye hakuua mtu mwingine au kufanya uharibifu katika nc...
29/06/2025

Katika Qur’an Tukufu, Allah amesema “kwamba yeyote aliyeua mtu ambaye hakuua mtu mwingine au kufanya uharibifu katika nchi, basi ni k**a ameua watu wote.” (Surah Al-Ma’idah 5:32)

Maneno haya matakatifu yanatufundisha kuwa maisha ya mtu mmoja si jambo la kupuuzia. Kifo cha mtu mmoja asiye na hatia, aliyetekwa au kuonewa, hakipaswi kukaliwa kimya kwa sababu kinagusa moyo wa kila mtu mwenye uhai ndani yake.

Allah has decrered that “the death of one innocent is equal to the death of humanity” k**a hata Qur’an inatambua thamani ya mtu mmoja, basi ni makosa kwa taifa letu kukaa kimya kwa sababu wahanga sio wengi au ni mmoja, hatutaki vifo vingi ndipo tushtuke bali tunataka haki kwa kila mmoja maana katika huyo mmoja kuna ubinadamu wote.

Tanzania haiwezi kujengwa juu ya damu ya wasio na hatia, sitorudi nyuma wala kunyamaza sitouza utu wangu kwa ajili ya maslahi yangu binafsi nitasimama kwa ajili ya Taifa langu mpaka mwisho wa vita hii.

Address

664
Mbeya
664

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jasusi la mbinguni media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share