RAGT-Mlima wa Bwana Mwanjelwa Mbeya

RAGT-Mlima wa Bwana Mwanjelwa Mbeya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from RAGT-Mlima wa Bwana Mwanjelwa Mbeya, Church of God, Mbeya.

03/01/2024

Heri ya mwaka mpya 2024
Ukawe mwaka wa ushindi na mafanikio tele..
Ruhusa roho yako ipate utulivu katika kila jambo🙏🙏

08/06/2023

Mchungaji Sephania Mwakajinga anaendelea na semina
EAGT-Rehema Temple
Itubi-Ilemi

Mungu katutendea jambo kuu🙏🙏
09/05/2023

Mungu katutendea jambo kuu🙏🙏

16.04.2023Sunday
15/04/2023

16.04.2023
Sunday

15/02/2023

Siku yako imebarikiwa sanaaaa

20/01/2023

Bwana Yesu asifiwe nawasalimu kupitia jina kuu la Yesu Kristo aliye hai🤝🤝
Tunawakaribisha kulike page yetu ya kanisa la Redemeed Assemblies of God Tanzania(R.A.G.T)-Mlima wa Bwana lililopo Mwanjelwa Mbeya nyuma ya shule ya Mkapa.
Chini ya Mchungaji S
Hili uweze kupata matukio mbalimbali na ratiba zinazoendelea kanisani hapo na MUNGU atakubariki sanaaaaa
RATIBA ZETU:
**Jumanne:Ibada ya mafundisho na maombezi---09:00-12:00 jioni
**Jumatano:Mazoezi ya Kwaya---10:00-11:00jioni
**Alhamisi:Mazoezi ya kwaya 2----09:00-11:00jioni
**Ijumaa:Ibada ya mafundisho na maombezi---09:00-12:00jioni
**Jumapili:Ibada--03:00-07:00 mchana na 10:00-12:00jioni
Karibuniii sanaaaa
Kwa mawasiliano zaidi piga namba:0765495186

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RAGT-Mlima wa Bwana Mwanjelwa Mbeya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category