Goshen International Church

Goshen International Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Goshen International Church, Religious organisation, Mbeya.

14/03/2024

Kwa maombi na ushauri jiunge na kupitia link

Tunamshukuru Mungu kwa kufikia hapa, kipekee nawashukuru watu wote mlioshiriki katika ujenzi huu, mpaka hapa tumepunguki...
09/11/2023

Tunamshukuru Mungu kwa kufikia hapa, kipekee nawashukuru watu wote mlioshiriki katika ujenzi huu, mpaka hapa tumepungukiwa bundle 2 na bati 10 sawa na Tzs 932,000/= Nashukuru kwa waliotoa mpaka sasa nimepokea 100,000, hivyo upungufu ni 832,000/= ukiguswa kuongeza sadaka yako tafadhali waweza tuma kwa namba 0713332808 Justin Silas, na Mungu atakubariki!!

Mungu anaketi mahali pa sifa
17/09/2023

Mungu anaketi mahali pa sifa

16/09/2023

Habari ya leo! Hapa tupo zaidi ya watu 100, na wote tumeokoka na ni wafuasi wa Kristo Yesu, aliyetuagiza kwenda ulimwenguni mwote tukaihubiri injili kwakila kiumbe, njia pekee ya kuwafikia watu kwasasa ni kupitia channels za online, tutambue ulimwengu wa giza wanashirikiana sana kupambana na ulimwengu wa roho. Hivyo basi naomba unisaidie tuu *Kusubscribe* na *kushare* kwenye magroup mengine, channel yetu inahitaji *subscribers 50* ili Tuanze kuhubiri live na watu wengine tuwafikie ,Mimi na wewe tunajukumu al la kuwafikia. Na Kipekee niwashukuru wote mliofanya kusubscribe kwenye YouTube channel yetu,huu ndiyo upendo wa kweli na Mungu awabariki. Kwa ndugu ,rafiki na mpendwa ambaye haukubahatika *kusubscribe* naomba uwe sehemu ya baraka.
Bofya hapa πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½kisha *Subscribe*

Fanya yafuatayo, ikifika saa mbili usiku hapa hapa nitaachia vocha  #  #  #  # Mashariti ni  #  #  #  Fanya hivyo page h...
13/09/2023

Fanya yafuatayo, ikifika saa mbili usiku hapa hapa nitaachia vocha
#
#
#
#
Mashariti ni
#
#
#
Fanya hivyo page hii hapa chini

And God has appointed these in the church: first apostles, second prophets, third teachers, after that miracles, then gifts of healings, helps, administratio...

24/08/2023

Daniel 12:9-10
[9]And he said, Go thy way, Daniel: for the words are closed up and sealed till the time of the end.
Akasema, Enenda zako, Danieli; maana maneno haya yamefungwa, na kutiwa muhuri, hata wakati wa mwisho.
[10]Many shall be purified, and made white, and tried; but the wicked shall do wickedly: and none of the wicked shall understand; but the wise shall understand.
Wengi watajitakasa, na kujifanya weupe, na kusafika; bali wabaya watatenda mabaya; wala hataelewa mtu mbaya awaye yote; bali wao walio na hekima ndio watakaoelewa.

24/08/2023

Tuko live mkutano wa injili

02/08/2023

YOUR DESTINY HELPERS WILL LOCATE YOU

02/08/2023

Fanyeni kazi madam ni mchana

02/08/2023

Mungu ni mwema

09/07/2023

Tumemuona Bwana!!

17/06/2023


SATURDAY PROPHETIC SERVICE WITH SNR. PROPHET JUSTIN SILAS

DELIVERANCE πŸ”₯
Deliverance is Mandatory to be set free from captivity.
When we cry out to the Lord, He hears our prayers and delivers us from all our afflictions. No matter what difficulties we may be facing be it physical, emotional, or spiritual. God is willing and able to bring us out of them. Psalm 37:17
Turn to God in prayer, seek His guidance, and trust in His faithfulness. Remember, He is the one who hears our cries and delivers us from all our troubles. Galatians 5:1

I DECREE THE LIBERATING POWER OF GOD's DELIVERANCE UPON YOU TODAY IN JESUS NAME

Address

Mbeya
0000

Telephone

+255713332808

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goshen International Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share