House of freedom church-Itende

House of freedom church-Itende Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from House of freedom church-Itende, Religious organisation, Mbeya.

10/11/2024

1 Samweli(1 Samuel) 2
Ombi la Hana
1 Naye Hana akaomba, akasema,
Moyo wangu wamshangilia BWANA,
Pembe yangu imetukuka katika BWANA,
Kinywa changu kimepanuka juu ya adui zangu;
Kwa kuwa naufurahia wokovu wako;

2 Hakuna aliye mtakatifu k**a BWANA;
Kwa maana hakuna ye yote ila wewe,
Wala hakuna mwamba k**a Mungu wetu.

3 Msizidi kunena kwa kutakabari hivyo;
Majivuno yasitoke vinywani mwenu;
Kwa kuwa BWANA ni Mungu wa maarifa,
Na matendo hupimwa na yeye kwa mizani.

1Petr5:6 Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake;7 huku mkimtwika yeye fadhaa...
08/11/2024

1Petr5:6 Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake;

7 huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.

8 Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa msh*taki wenu Ibilisi, k**a simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.

9 Nanyi mpingeni huyo, mkiwa thabiti katika imani, mkijua ya kuwa mateso yale yale yanatimizwa kwa ndugu zenu walioko duniani.

10 Na Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele katika Kristo, mkiisha kuteswa kwa muda kidogo, yeye mwenyewe atawatengeneza, na kuwathibitisha, na kuwatia nguvu.

11 Uweza una yeye hata milele na milele. Amina.

07/11/2024

1 Petro(1 Peter) 5
Kuchunga Kundi la Mungu
1 Nawasihi wazee walio kwenu, mimi niliye mzee, mwenzi wao, na shahidi wa mateso ya Kristo, na mshirika wa utukufu utakaofunuliwa baadaye;

2 lichungeni kundi la Mungu lililo kwenu, na kulisimamia, si kwa kulazimishwa, bali kwa hiari k**a Mungu atakavyo; si kwa kutaka fedha ya aibu, bali kwa moyo.

3 Wala si k**a wajifanyao mabwana juu ya mitaa yao, bali kwa kujifanya vielelezo kwa lile kundi.

02/05/2023

Address

Mbeya

Telephone

+255755805125

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when House of freedom church-Itende posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share