Mbeya Kati Sda Church Page

Mbeya Kati Sda Church Page Ukurasa huu upo unaomilikiwa na kanisa la Waadventista wa Sabato Mbeya Kati, kwaajili ya kukutanabaisha juu ya Neno la Mungu, pamoja na masomo mbalimbali
(1)

Ni lkweli TUMEFUNGULIWA 🙏Ni katika Siku kumi za Maombi mwaka 2026! Tunamshukuru sana kwa siku hizi hakika tumeona Mkono ...
15/01/2026

Ni lkweli TUMEFUNGULIWA 🙏

Ni katika Siku kumi za Maombi mwaka 2026! Tunamshukuru sana kwa siku hizi hakika tumeona Mkono wake

Usikose kujiunga nasi tunapohitimisha siku hizi kumi za Maombi. Tuje kumshukuru Mungu, na kutoa ushuhuda kwa Jinsi aliyotutendea.

Tumefunguliwaa!!

Siku ya SitaTuondoke na Hii
12/01/2026

Siku ya Sita

Tuondoke na Hii

Mianzo ya Baraka 2026!Mpendwa nikukaribishe tena katika Siku kumi za Maombi 2026! Msimu mwingine wa kuchoka baraka kutok...
06/01/2026

Mianzo ya Baraka 2026!

Mpendwa nikukaribishe tena katika Siku kumi za Maombi 2026! Msimu mwingine wa kuchoka baraka kutoka kwa Mungu na kuanza safari ya Mwak huu na Mungu.

Ni kuanzia tarehe 7 Hadi tarehe 17 Mwezi 01 mwaka 2026 katika kanisa la Waadventista wa Sabato Mbeya Kati

Muda
Saa 12:30 - 01:30 Asubuhi
Saa 11:00. - 12:00 Jioni

Unakaribishwa katika Mwanzo Mpya!!

Njoo Ufunguliwe Milango ya Mafanikio Mwaka 2026!

SABATO NJEMA WAJORI 🙏Siku sita zimepita, Sabato tena karudi;Shangilie roho yangu, itukuze kwa busara.
04/10/2024

SABATO NJEMA WAJORI 🙏
Siku sita zimepita, Sabato tena karudi;
Shangilie roho yangu, itukuze kwa busara.

28/04/2024
Usikose
27/03/2024

Usikose

Siri za upendo unaodumu
27/03/2024

Siri za upendo unaodumu

Stay tuned
22/02/2024

Stay tuned

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbeya Kati Sda Church Page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mbeya Kati Sda Church Page:

Share

Category