Kristo Mfalme Cathedral Choir

Kristo Mfalme Cathedral Choir Choir

15/07/2023

USIKOSE!!!

27/06/2023
30/12/2022

Follow us on social media

24/12/2022

Pokeeni salamu za Krismasi na Mwaka mpya 2023

Ungana nasi
09/12/2022

Ungana nasi

Tutakuwepo
18/10/2022

Tutakuwepo

Tulipataa hizi taarifa kuwa Hilda Julius Lugendo ameitwa katika utukufu baada ya kulala usingizi wa mauti akiwa nchini N...
31/08/2022

Tulipataa hizi taarifa kuwa Hilda Julius Lugendo ameitwa katika utukufu baada ya kulala usingizi wa mauti akiwa nchini Norway! Ni mshtuko mkubwa sana kwangu na majonzi yasiyoelezeka kwetu sote.
😭😭😭😭
sala hii ni kwa ajili Mhashamu Baba Askofu Julius Lugendo, Mapadre, Mashemasi, Wainjilisti, UMAKI na watu wote waliokuwa karibu na Hilda.

Hilda! Umeyahama maisha haya! Nakumbuka jinsi ulivyoumia wakati rafiki yako Anna alipofariki. Wewe ulikuwa na sababu ya kuumia kwani ulinisumbua sana ukitaka niingilie kati katika changamoto yake ya kitaaluma ambayo ilisababishwa na mhadhiri mwingine. Ulijua kuwa ningeweza na nilijitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kumsaidia.

Hilda! Sasa umehitimu kutoka katika taasisi hii inayoitwa Kanisa lililo katika mapambano au Church militant na sasa umeingia katika taasisi nyingine inayoitwa Kanisa lililoshinda au Church militant. Tutaonana tena katika siku ile baada ya mapambazuko yale! Tumioneni!

Vita umevipiga na imani umeilinda

01/02/2022

KMCC wakiperform kwenye Tamasha la uimbaji - Kanisa la Moravian Mbeya Mjini. 30/01/2022

Address

P. O. Box 198
Mbeya
1208

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kristo Mfalme Cathedral Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kristo Mfalme Cathedral Choir:

Share