T.A.G Forest Ya Kwanza

T.A.G Forest Ya Kwanza T. A. G Forest ya Kwanza ni kanisa la kipentekoste lililipo mkoa wa Mbeya karibu na mahakama kuu. Tunaihubiri Habari njema ya Yesu Kristo.

Karibu tumfanyie Bwana Ibada
22/08/2026

Karibu tumfanyie Bwana Ibada

Mungu ni Mwema
21/08/2026

Mungu ni Mwema

20/08/2026

Roho Mtakatifu sio houseboy wako wala housegirl wako, Roho Mtakatifu ni Mungu Mwenyewe.

Full sermon on youtube TAG Forest ya Kwanza

20/08/2026

Unahitaji Roho Mtakatifu na sio mafuta ya upako!

20/08/2026

Pasipo Roho Mtakatifu huwezi kujua raha wala uzuri wa wokovu

20/08/2026

Roho Mtakatifu akijaa ndani yetu haji kutusisimua anakuja kututosheleza

20/08/2026

Ni Roho Mtakatifu peke yake anayeweza kutosheleza hitaji au shahuku ya moyo

20/08/2026

Baada ya kubatizwa kwa maji mengi unahitaji kujazwa Roho Mtakatifu ~

Full view on Youtube TAG Forest ya Kwanza

20/08/2026

Waimbaji jaeni nguvu ya Mungu.

NAKUTIA MOYO Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunapita katika njia zisizo na uhakika, tunakutana na maamuzi magumu,...
19/08/2026

NAKUTIA MOYO

Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunapita katika njia zisizo na uhakika, tunakutana na maamuzi magumu, majaribu na nyakati ambazo hatuoni hatua inayofuata. Lakini Mungu hakutuacha tutembee gizani. Ametupa Neno lake kuwa taa ya miguu yetu mwanga unaotuonyesha mahali pa kuweka hatua inayofuata, hata pale ambapo hatuioni safari yote mbele yetu.

Neno la Mungu linapokuwa msingi wa maisha yetu, linatuongoza tunapochanganyikiwa, linatupa nguvu tunapodhoofika, linatukumbusha ahadi za Mungu tunapokata tamaa, na linatulinda tusipotee katika njia zisizompendeza Mungu. Mruhusu Mungu akuongoze kupitia Neno lake, hutatembea kwa kubahatisha.

“Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.” Zaburi 119:105

Address

Mbeya
1993

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G Forest Ya Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to T.A.G Forest Ya Kwanza:

Shortcuts

Share