19/07/2024
"Your COMFORT ZONE,
Is your FAILURE ZONE"
" Kubali kufanya mabadiliko kupiga hatua, na mala nyingi hatua hii huonekana k**a ukiipiga utadondoka zaidi ya hapo ulipo... Hiyo ndio COMFORT ZONE, Unatakiwa kupiga hatua Kwa maamuzi ya ujasiri magumu"
Take Note.