06/06/2026
Zaburi 146:1-2
Yatupasa tumtumikie Mungu tungali hai na tunanguvu,wakati ni sasa Mungu amekupa uhai na mzima wa afya na nguvu.usingoje kesho usioijua ,wengine wanasema wako bizy ngoja mambo yakiwa sawa ndio nitamtumikia Mungu na kufanya kazi zake.
Ndugu hujachelewa inuka sasa ifanye kazi, Mungu amekuleta kwa kusudi lake dunia ni pamoja na kumuabudu yeye na kumtumikia kwa moyo wote na nguvu zote usichoke katika kuifanya kazi ya Mungu.ubarikiwe.