FPCT Ndanda

FPCT Ndanda Kutoa habari na matukio ya kikanisa. Pamoja na kuhubiri neno LA Mungu kwa mataifa yote
www.fpctndanda.co.tz

Ni neema juu ya neema siku Hadi siku tunauona wema wa Bwana. Kazi yake inasonga mbele. Endelea kusali na kutuombea ili B...
27/04/2022

Ni neema juu ya neema siku Hadi siku tunauona wema wa Bwana. Kazi yake inasonga mbele. Endelea kusali na kutuombea ili Bwana aendelee kiifanya kazi yake yeye mwenye. KARIBU WOYE FPCT NDANDA

27/04/2022

UPENDO WA MUNGU KWETU “Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.”
— Yohana 15:13 “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.”
— Yohana 3:16 UPENDO WETU KWA MUNGU NI AMRI “nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.”
— Marko 12:30 tena Kutoka 20 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
³ Usiwe na miungu mingine ila mimi.
⁴ Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
⁵ Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
⁶ nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu. UPENDO WA SISI KWA SISI NAO NI AMRI Yohana 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³⁴ Amri mpya nawapa, Mpendane. K**a vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.
³⁵ Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.1 Wakorintho 13 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, k**a sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
² Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, k**a sina upendo, si kitu mimi.
³ Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, k**a sina upendo, hainifaidii kitu.
⁴ Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
⁵ haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
⁶ haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
⁷ huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
⁸ Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
⁹ Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu;
¹⁰ lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika.
¹¹ Nilipokuwa mtoto mchanga, nalisema k**a mtoto mchanga, nalifahamu k**a mtoto mchanga, nalifikiri k**a mtoto mchanga; tokea hapo nilipokuwa mtu mzima, nimeyabatilisha mambo ya kitoto.
¹² Maana wakati wa sasa tunaona kwa kioo kwa jinsi ya fumbo; wakati ule tutaona uso kwa uso; wakati wa sasa nafahamu kwa sehemu; wakati ule nitajua sana k**a mimi nami ninavyojuliwa sana.
¹³ Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.MBARIKIWE WAPENDWA

Nakukaribisha mpendwa siku hii tuwe pamoja kwa ajili ya KAZI ya Mungu. Usipjtwe na baraka hii
08/06/2021

Nakukaribisha mpendwa siku hii tuwe pamoja kwa ajili ya KAZI ya Mungu. Usipjtwe na baraka hii

20/05/2021

23/5 Jumapili ni kumbukizi ya siku ya Pentekoste
Soma Matendo ya nitumie 2;1-17

Siku njema tena tumepewa neema juu ya NEEMA hebu tuitendee haki kwa kumpa utukufu MUNGUAnaoustahili
15/05/2021

Siku njema tena tumepewa neema juu ya NEEMA hebu tuitendee haki kwa kumpa utukufu MUNGU
Anaoustahili

Neema ya Mungu yatufanya kuwa hivi tulivyoBila neema yake sisi si chochote
08/05/2021

Neema ya Mungu yatufanya kuwa hivi tulivyo
Bila neema yake sisi si chochote

[5/4, 4:29 AM] Shadrack: Biblia. Marko 8:36[36]Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya na...
04/05/2021

[5/4, 4:29 AM] Shadrack: Biblia. Marko 8:36
[36]Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
[5/4, 4:30 AM] Shadrack: Biblia. Marko 8:36-38
[36]Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
[37]Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?
[38]Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.

03/05/2021
27/04/2021

Hakika Mungu ni mwema siku zote na katika hali zote

17/04/2021

Katika mapumziko ya mwisho wa wiki moja ya kitu huwa sipendi kumiss ni kupata muda wa kusali siku ya kwanza ya juma yaani jumapili
Jiunge nami kesho katika ibada hapa kwetu FPCT Ndanda
Tunakukaribisha tuje tusifu tuabudu na kusikiliza neno la Mungu pamoja
Ubarikiwe sana

10/04/2021

Mungu awape wkend njema wapendwa katika BWANA

15/03/2021

Address

Ndanda
Masasi
255

Telephone

+255719608116

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Ndanda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT Ndanda:

Share