17/07/2026
WASOMI WASOMI WASOMI WAMEAMUA KUMRUDIA YESU YAJAYO YANAFURAHISHA EEE ULIMWENGU WANGU..SIJAJUA WEWE UNASUBIRIA NINI?
K**a wewe UNAJIITA msomi na Hauna Yesu bila kujali cheo,nafasi,mshahara,usafiri ulionao,nyumba uliyonayo,makampuni uliyonayo n.k Bado hujafanikiwa!!
Kuwa na uhakika wa mahusiano Yako na Mungu kwanza!! Ni rahisi sana ukapuuzia habari za huyu Yesu Leo lakini Kuna siku inakuja na usiombe ikukute uko nje ya Yesu kwa sababu itakuwa ni kilio na kusaga meno...
utakuja kugundua Kuna vitu ni vya muhimu kuliko ata utajiri wa Dunia nzima ukijumuishwa na ukapewa....
Chagua NJIA ya uzima na Baraka Leo ambayo ni Yesu Kristo...
WASOMI WASOMI WASOMI.
Ni saa imefika
WANACHUO KWA YESU
WATU NA CERTIFICATE,DIPLOMA, BACHELOR,MASTERS,PHD& PROFESSOR pamoja na yote tumrudie Kristo.
Hallelujah hallelujah!!