UWEZO MKUU

UWEZO MKUU KWA KUHITAJI USHAURI ,KUCHANGIANA MAWAZO ,KUTANGAZA TANGAZO LENYE KUZINGATIA MAADILI.TANGAZA HA For advertisement contact

-0621335336
-0716366110

30/05/2022
  BABALEVO ATAKA KWENDA UTURUKI KUFANYA SURGERY KUPUNGUZA PUA.....Msanii wa BongoFleva BabaLevo amefunguka kuwa anataka ...
30/05/2022

BABALEVO ATAKA KWENDA UTURUKI KUFANYA SURGERY KUPUNGUZA PUA.....

Msanii wa BongoFleva BabaLevo amefunguka kuwa anataka kwenda nchini Uturuki kupunguza pua yake ili awe Handsome Boy.

Akihojiwa na Wasafi Tv msanii huyo amesema Gharama zake ni Dola 20,000 sawa Tsh Milioni 46 hivyo ataenda kufanyiwa upasuaji ili aipunguze pua pamoja na kitambi kwani amechoka kuchekwa.

Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha tembelea kila wakati hakika hutopitwa na chochote saa 24.

Chanzo
Msasa Online

30/05/2022

MKUU WA MKOA - NIMECHOSHWA NA UCHOMAJI MOTO MASOKO DAR: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makala amesema amechoshwa na matukio ya moto katika maeneo mbalimbali mkoani humo huku akiagiza wafanyabiashara wa soko la Tazara Vetenari wilayani Temeke lililoteketea kwa moto leo alfajiri kurejeshwa mapema iwezekanavyo kuendelea na shughuli zao.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema tayari wameunda kamati ya kuwapanga upya wafanyabiashara pamoja na kuboresha eneo la biashara kupitia fedha za Machina na mapato ya ndani.

SERBIA KUNUNUA GESI YA URUSIWakati Umoja wa Ulaya (EU) unaendelea na vikwazo kwa Urusi, Serbia haijaunga mkono vikwazo h...
30/05/2022

SERBIA KUNUNUA GESI YA URUSI

Wakati Umoja wa Ulaya (EU) unaendelea na vikwazo kwa Urusi, Serbia haijaunga mkono vikwazo hivyo na imekukubali mkataba wa kununua gesi kutoka Urusi

> Mkataba ni wa miaka mitatu na utasainiwa muda hivi karibuni

Soma - https://jamii.app/SerbiaUrusi

Jifunze kutegemea Mungu katika maisha yako yoteMichael Daniel
30/05/2022

Jifunze kutegemea Mungu katika maisha yako yote

Michael Daniel

Jifunze mengi dunia inapita na mambo yake yanapitaMungu a tulinde daima tutumikie kusudi lake daima
30/05/2022

Jifunze mengi dunia inapita na mambo yake yanapita

Mungu a tulinde daima tutumikie kusudi lake daima

Kwenye swala la kufanikiwaWeka mbali ujuajiKujuajua kusiko na msingi kutakukwamisha Wapo waliyoona boksi la pombe Aina y...
30/05/2022

Kwenye swala la kufanikiwa

Weka mbali ujuaji

Kujuajua kusiko na msingi kutakukwamisha
Wapo waliyoona boksi la pombe Aina ya konyagi wa kasema Sisi siyo wale I wakapita wakaliacha
Wakapita wale I wakaona lile boksi wakajua wamepona wakabeba wakakuta ndani Kuna fedha nyingi kweli.. Hawa wa jamaa walipona kweli kweli. Wale wajua hawakukaaa Kimya wakaanzaa ooooh.. Upele humuota asiye na kumcha
Huwa iko hivi mkombozi alikua kuwakombo wale wasiyoijua kweli.... Ila kweli ipo karibu na wanaoitambua lakini wao huichukulia mazoea na kuipuuza tusiwe watu wakujuana Juana kwakuwa tupo tofauti kwa kila namna tupo kujifunza kitu cha zamani Kwako kwa Mwenzako ni kipya wa ha dharau ufanikiwe

Michael Daniel

Watakunyima tu furaha kwa muda ila hawatakuuwa pambana hakuna muda wa kukata tamaa.. Mungu yupoMichael DanielSonOfEvange...
30/05/2022

Watakunyima tu furaha kwa muda ila hawatakuuwa pambana hakuna muda wa kukata tamaa..

Mungu yupo

Michael Daniel

Son
Of

Evangelist

Wakolosai 312 Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyek...
30/05/2022

Wakolosai 3
12 Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu,

Michael Daniel

Address

Simanjiro
Manyara
026

Telephone

+255716366110

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UWEZO MKUU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to UWEZO MKUU:

Share