Mlimani EAGT

Mlimani EAGT Karibu Eagt mlimani Babati
Kanisa linapatikana Maisaka B Mlimani Karibu ujifunze Neno la mungu

SEMINA ,SEMINA ,SEMINA .Tunakukaribisha katika semina ya Neno la Mungu ya siku 5 itakayoanza tarehe 1- hadi 5 ya mwezi w...
28/03/2026

SEMINA ,SEMINA ,SEMINA .

Tunakukaribisha katika semina ya Neno la Mungu ya siku 5 itakayoanza tarehe 1- hadi 5 ya mwezi wa 4 .

Usipange kukosa katika semina hii kubwa ya Neno la Mungu ,Ukipata Tangazo hili Mjulishe na mwenzako .


18/03/2026
12/03/2026

Anaweza kutenda, na anaweza kufanya mambo makubwa zaidi ya tuombayo !!!!



EAGT BABATI MLIMANI SOCIAL NETWORK Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu,  Tunayofuraha ya kukutangazia mitandao yetu rasmi ...
07/03/2026

EAGT BABATI MLIMANI SOCIAL NETWORK

Bwana Yesu asifiwe mwana wa Mungu, Tunayofuraha ya kukutangazia mitandao yetu rasmi ya kijamiii .

Tufuatilie huko na kutufollow ,Instagram, Facebook, YouTube, Tiktok ili uweze kupata mafundisho yote ya Neno la Mungu .



07/03/2026

Tunakukaribisha kesho katika ibada hapa kanisani, karibu tuabudu pamoja nasi.



"Mungu hatetei wanaoweza kujitetea"Mchungaji wa kanisa la Eagt Babati Mlimani ,Pastor Samweli Steven Mlao
28/02/2026

"Mungu hatetei wanaoweza kujitetea"

Mchungaji wa kanisa la Eagt Babati Mlimani ,Pastor Samweli Steven Mlao



28/02/2026

Mungu anaishi ,hakika Mkono wake ni mkuu sana !!!
Karibu katika Nyumba ya Bwana hapo kesho !!

Jumapili iliyopita Kanisa letu lilipata Neema ya Kutangazwa kwa Uchumba wa vijana wetu hawa wawili ndani ya CGM .Tunamtu...
28/02/2026

Jumapili iliyopita Kanisa letu lilipata Neema ya Kutangazwa kwa Uchumba wa vijana wetu hawa wawili ndani ya CGM .

Tunamtukuza Mungu kwaajili yao ,hakika ilikuwa ni siku Ya Baraka sana ndani ya Kanisa la Mungu .

Hongera sana kwa vijana wetu hawa



Karibu Eagt Babati Mlimanii ,Kanisa lipo Babati mjini Maisaka B " ulizia Eagt mlimani utaweza kuletwa Moja kwa moja , Ib...
25/02/2026

Karibu Eagt Babati Mlimanii ,Kanisa lipo Babati mjini Maisaka B " ulizia Eagt mlimani utaweza kuletwa Moja kwa moja , Ibada ni kila siku za Jumatano saa 10:00 Jioni , Ijumaa saa 10:00 Jioni na Jumapili ni saa 4:00 Asubuhi .



Picha 6 za Kumbukumbu za Ibada ya Siku ya Leo ibada ya kwanza ya Kufungua Mwaka wa 2025 hapa EAGT MLIMANI Mchungaji .sam...
01/01/2025

Picha 6 za Kumbukumbu za Ibada ya Siku ya Leo ibada ya kwanza ya Kufungua Mwaka wa 2025 hapa EAGT MLIMANI Mchungaji .samwel .

Tunamshukuru Mungu kwaajili ya mtumishi wa Mungu kwa kuendelea kumtumia katika kuyaimarisha maisha yetu ya Kiroho na Kimwili .



Address

Maisaka
Manyara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlimani EAGT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share