Efatha Church Makambako

Efatha Church Makambako The Official page of Efatha Church Makambako. Website: efathachurch.org

: chanzo cha baraka za mtu ni kuisikia sauti ya Mungu.Ibrahimu kilichomfanya apate baraka ni kuisikia sauti ya Mungu. hu...
23/08/2026

: chanzo cha baraka za mtu ni kuisikia sauti ya Mungu.
Ibrahimu kilichomfanya apate baraka ni kuisikia sauti ya Mungu. huwezi fanya baraka zozote pasipo kuisikia sauti ya Mungu,.

Kusudi la kufanyika mwana lina sifa mbili mhimu sana
1. Upekee wa kuzaliwa huyu mwana
2. Kibali Cha kuingia mahali ambapo mwingine hawezi kuingia ila TU huyu mwana.

Kumbuka wana Israel walitembea safari ndefu sana lakini walichelewa kwa kutosikia sauti ya Bwana.

Kusudi la kuwa mwana ni kuturithisha Mali na vyote alivyoviumba kuwa sawasa

Mwanzo 1:28
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Kumbukumbu la Tolati 28
Biblia haisemi atabarikiwa mchungaji Wala muimbaji Wala mwenye wadhifa flani.
Bali inasema utakapoisikia sauti ya bwana

ISAYA 9:6
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.

Natangaza kwamba Dunia isikie na mbingu zikisie kwamba Mimi ni mwana wa Mungu. Na kwaa ajili yangu Yesu alizaliwa ili niwe Amani.
Yesu kristo alizaliwa katika uweza wa roho mtakatifu ndivyo na Mimi nilivyo, nimezaliwa katika uweza wa roho mtakatifu.

IBADA YA JUMAPILI YA TAREHE 23/08/2026MCH. FAHAMUEL MNDEMESomo: chanzo cha baraka za mtu ni kuisikia sauti ya Mungu.Ibra...
23/08/2026

IBADA YA JUMAPILI YA TAREHE 23/08/2026
MCH. FAHAMUEL MNDEME
Somo: chanzo cha baraka za mtu ni kuisikia sauti ya Mungu.
Ibrahimu kilichomfanya apate baraka ni kuisikia sauti ya Mungu. huwezi fanya baraka zozote pasipo kuisikia sauti ya Mungu,.

Kusudi la kufanyika mwana lina sifa mbili mhimu sana
1. Upekee wa kuzaliwa huyu mwana
2. Kibali Cha kuingia mahali ambapo mwingine hawezi kuingia ila TU huyu mwana.

Kumbuka wana Israel walitembea safari ndefu sana lakini walichelewa kwa kutosikia sauti ya Bwana.

Kusudi la kuwa mwana ni kuturithisha Mali na vyote alivyoviumba kuwa sawasa

Mwanzo 1:28
Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.

Nguvu ya DHABIHU Inafanya Mungu achukue hatua haraka au Kwa wakati pia inafanya maono yako yawe haiDHABIHU ni silaha ya ...
16/08/2026

Nguvu ya DHABIHU
Inafanya Mungu achukue hatua haraka au Kwa wakati pia inafanya maono yako yawe hai
DHABIHU ni silaha ya mwisho.maombi pekee hayatoshi toa Kwa Mungu jidhabihu.

16/08/2026

IBADA YA JUMAPILI TAR:16/8/2026
MT:DAVID MDEKWA
SOMO: Nguvu ya DHABIHU

16/08/2026

IBADA YA JUMAPILI TAR 16/8/2026
MT:DAVID MDEKWA

26/07/2026

Je kuna neno gumu alisoliweza Mungu?

26/07/2026

Twaingia Malangoni Mwako

26/07/2026

Twaingia Malangoni Mwako Kwa Kusifu - Efatha Choir Makambako

26/07/2026

Unasababu ya kumsifu Mungu, kwasababu amekutendea.

Address

Kivavi/Mashujaa, Stand Daladala Along Makambako/Njombe Road
Makambako

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church Makambako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church Makambako:

Shortcuts

Share