St. JOHN Anglican Magugu

St. JOHN Anglican Magugu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from St. JOHN Anglican Magugu, Religious Center, Box 179, Magugu.

A church aiming to further the Kingdom of God and enable individuals and communities to experience life in its fullness through evangelism,worship, prayer, pastoral care,theological reflection and social services.

02/02/2022

Bwana Yesu asifiwe sana

UONGOZI wa Kanisa la Anglican magugu kwa masikitiko makubwa inatoa taarifa ya kuvunjiwa na kuibiwa vifaa vya music Usiku wa kuamkia Leo
1 amplifier=2 Yamaha 3500
Professional sound CA 18
2 kinanda Yamaha psrs 710
3 guitar la bass nyuzi nne

Kwa yeyote atakaye sikia taarifa ya uuzwaji wa vifaa hvyo tafadhali tunaomba utuharifuu

Simu no +255 786 693 848
Mungu akubariki

ANGLICAN CHURCH OF TANZANIA ...    ..... KANISA LA ST JONHN'S ANGLICAN ....TUNATOA POLE KWA MSIBA HUU MKUBWA KWETU SOTE ...
18/03/2021

ANGLICAN CHURCH OF TANZANIA ...
..... KANISA LA ST JONHN'S ANGLICAN ....TUNATOA POLE KWA MSIBA HUU MKUBWA KWETU SOTE NA FAMILIA YA

😭MH RAIS NDUG JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI😭😭😭
heri wafu wafao katika BWANA wakapata kupumzishwa siku ya taabu yako

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWA JINA LAKE
LIHIMIDIWE

Bwana Yesu asifiwe ...Tunapenda kuwakaribisha watu wote kwenye semina ya Neno la Mungu  itakayoongozwa na Mtumish Morice...
14/10/2020

Bwana Yesu asifiwe ...Tunapenda kuwakaribisha watu wote kwenye semina ya Neno la Mungu itakayoongozwa na Mtumish Morice Mapundi kuanzia alhamis ya wiki hii mpaka jumapili Maeneo ya Kanisa Anglican Magugu ....wakaribishe na wengine kadri uwezavyo ili tujifunze nguvu ya Moyo katika mafanikio yako....
Karibuni sana.......

Karibu katika ibada ya asubuhi MUNGU akakutane na haja ya moyo wako
11/10/2020

Karibu katika ibada ya asubuhi
MUNGU akakutane na haja ya moyo wako

12/05/2020

Bwana Yesu asifiwe wapendwa..Tunapenda kuomba radhi kwa tatizo la ukosefu wa sauti kwenye video ya mahubiri ya jumapili iliyopita...Tunaahidi kuhakikisha tatizo hili halitojirudia tena. Mungu awabariki sana .

Shalom watu Wa Mungu.Kwa Neema ya Mungu Leo tutakua na semina ya vijana hapa kanisani kwetu, karibu sana tujifunze wote!...
03/05/2020

Shalom watu Wa Mungu.

Kwa Neema ya Mungu Leo tutakua na semina ya vijana hapa kanisani kwetu, karibu sana tujifunze wote!
Pia unaweza kuangalia LIVE kabsa ibada hii kupitia ukurasa wetu huu Wa Facebook.

Ubarikiwe sana, Dada yetu IRIS DIONIS atatuongoza kwa Neema ya Mungu.

23/04/2020

SHALOM, SHALOM!!

Uongozi wa kanisa la St Johns Anglican Magugu unawakaribisha sana kwenye ukurasa wetu huu, ambao tutashirikishana mambo mbalimbali ya kumtukuza Mungu, na Baraka za Kristo Yesu ziwe pamoja nanyi Siku zote, Ameen.

Karibu sana, waalike wa wengine pia.

K**a una jambo lolote k**a vile ushauri, maoni au uhitaji Wa maombi usisite kutuandikia.

Ubarikiwe Sana

Address

Box 179
Magugu

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 07:00 - 17:00
Sunday 07:00 - 17:00

Telephone

+255686504742

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St. JOHN Anglican Magugu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to St. JOHN Anglican Magugu:

Share