Nampenda Yesu Maana AMENIOKOA

Nampenda Yesu Maana AMENIOKOA Hapa tunajifunza Mafundisho ya Neno la Mungu yatakayotusaidia kumfahamu Mungu zaidi. Kwa Maoni/Ushauri tutumie SMS Inbox. SHARE PAGE HII KWA RAFIKI ZAKO!

Jumapili hii ya Juni 2. Karibu sana Ibadani.
30/05/2024

Jumapili hii ya Juni 2.

Karibu sana Ibadani.

We’re ready for another transformation. PASAKA HII Mungu anaenda kutenda tendo jipya tena. Panga kuhudhuria Semina hii. ...
20/03/2024

We’re ready for another transformation. PASAKA HII Mungu anaenda kutenda tendo jipya tena. Panga kuhudhuria Semina hii.

Ni siku 4 za NGUVU SANA.

YESU ATATUHUDUMIA SANAAA.

https://m.youtube.com/Mtu wa Mungu, k**a bado hujapita kwenye hii account na ku’subscribe basi tahadhali fanya hivyo.Kun...
25/03/2023

https://m.youtube.com/

Mtu wa Mungu, k**a bado hujapita kwenye hii account na ku’subscribe basi tahadhali fanya hivyo.

Kuna masomo mengi na ya faida kubwa sana kwako.

Umebarikiwa.

Official Channel of the Shiloh International Church Located at Nyamiselya Mabatini, Ngudu Road in Magu District, Mwanza - Tanzania. This is the Pentecostal C...

Ungana nasi katika kila Ibada LIVE/MUBASHARA
11/01/2023

Karibu Ibadani
08/01/2023

Karibu Ibadani

Kwa Maombi, Maombezi na Ushauri, Wasiliana nasi kwa namba;Mobile: +255 (0) 754 030 789E-mail: [email protected] usikilize Neno la Mungu kupitia:Youtu...

Ibada ya Kuupokea Mwaka Mpya iko LIVE muda huu hapa 👇
31/12/2022

Kuanzia Saa 5:00Asubuhi Ibada itakuwa LIVE hapa:
13/11/2022

Kuanzia Saa 5:00Asubuhi Ibada itakuwa LIVE hapa:

Hatma yako i mikononi mwako. Pale Mungu amekusudia ufike utafika kwa Kupapambania. Sio kitu kitatokea k**a Ajali.

Ibada ya kesho Jumapili Somo ni WAKILI MWAMINIFU na Ibada itakuwa LIVE hapa:https://youtu.be/5QDR2I7a114Karibu tuungane ...
05/11/2022

Ibada ya kesho Jumapili Somo ni WAKILI MWAMINIFU na Ibada itakuwa LIVE hapa:

https://youtu.be/5QDR2I7a114

Karibu tuungane pamoja.

Somo hili linafundisha namna Mkristo anavyoweza kusimama Imara na kumuwakilisha vyema Yesu Kristo.

Bofya hapa kujifunza Somo hili. Kumbuka Ku'subscribe na Kushare.
31/10/2022

Bofya hapa kujifunza Somo hili. Kumbuka Ku'subscribe na Kushare.

Moja kati ya Matokeo ya Mkristo aliyempokea Kristo, ni kuonekana kwa Tunda la Roho katika Maisha yake. Karibu ujifunze Somo hili.Kwa Maombi/Maombezi/Ushauri:...

Karibu ujifunze Somo hili na Share kwa wengine. Kumbuka Kulike, na Kusubscribe.
30/10/2022

Karibu ujifunze Somo hili na Share kwa wengine. Kumbuka Kulike, na Kusubscribe.

Address

Magu Kahangara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nampenda Yesu Maana AMENIOKOA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share