Ehud Ngoli

Ehud Ngoli News&Religions

04/09/2021

Ikumbuke kote, Sabato ya Bwana,
Siku tamu na bora, kupita nyingine;
Yatuletea raha, na furaha kweli,
Mwanga wake hungaza, urembo wa Yesu.

CHORUS
Karibie, karibie, Sabato tamu;
Karibie, Yesu pia, Bwana wa raha.

Itakase kweli, ukamsifu leo,
Yeye aliyesema, "Mimi ndiye njia";
Nasi tukimfuata Mkombozi hapa.
Atatunywesha tele maji ya uzima.

Siku ya nderemo! tupishe wakati,
Tukimwimbia Yesu Rafiki Mpendwa;
Mponya wetu leo, U mwema ajabu!
Ukae kwetu, Bwana, moyoni daima.

05/07/2020
maisha ni safari ndefu
02/03/2017

maisha ni safari ndefu

28/11/2015

Sabato njema wapendwa.

27/11/2015

Siku ya kuzaliwa tunaijua lakini expire date ya maisha yetu haifahamiki.
Tumkumbuke muumba kila siku kwa maombi atuongoze kwsababu hatujui siku wala saa.
Muwe na siku njema na mafanikio.

17/11/2015

Mkinipenda mtazishika amri zangu.
Yohana 15:14
Nawatakieni siku njema wapendwa.

16/11/2015

Na Iwapo Mtu Yeyote Hakuonekana Ameandikwa Ktk Kitabu Cha Uzima,alitupwa Ktk Lile Ziwa La Moto. Ufunuo 20:15

16/11/2015

Lakini Macho Ya Waovu Yataingia Kiwi Nao Hawatakuwa Na Njia Ya Kukimbilia Na Matumaini Yao Yatakuwa Ni Kutoa Roho.
Ayubu 11:20

Address

Mafinga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ehud Ngoli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share