Efatha Church - Mafinga

Efatha Church - Mafinga OFFICIAL FACEBOOK PAGE

Youtube: Church Mafinga

Hongera kwa wote wanaefatha Mafinga kwa kufika katika ibada ya siku ya leo. Mungu akubariki sana, wewe ni mtu wa thamani...
06/09/2026

Hongera kwa wote wanaefatha Mafinga kwa kufika katika ibada ya siku ya leo. Mungu akubariki sana, wewe ni mtu wa thamani sana mbele za Mungu.

Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya jumapili tarehe 6/9/2026 - Neno
06/09/2026

Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya jumapili tarehe 6/9/2026 - Neno

Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya jumapili tarehe 6/9/2026 - kusifu na kuabudu
06/09/2026

Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya jumapili tarehe 6/9/2026 - kusifu na kuabudu

USIKOSE IBADA HII
06/09/2026

USIKOSE IBADA HII

06/09/2026

KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI 6/9/2026

Hakuna tukio la Kiibada linaliacha alama ya utukufu, ushindi, furaha, uponyaji na ukombozi k**a KUSANYIKO LA EFATHA 🔥🔥🔥J...
01/09/2026

Hakuna tukio la Kiibada linaliacha alama ya utukufu, ushindi, furaha, uponyaji na ukombozi k**a KUSANYIKO LA EFATHA 🔥🔥🔥

Je,wewe umeshuhidia hili?

Mwaka huu tunatembea kwa viwango vya kufanya mapenzi ya Mungu na kufurahia mema ya nchi

Mapenzi ya yake ni wewe Kukusanyika kwa ajili ya kufahamu vema uweza wake na kupata mafundisho yatakayokujenga kumjua Yeye zaidi.

Kuanzia tarehe 5 hadi 11 Oktoba jiandae kukutana na msimu mpya wa Utukufu Precious Centre Kibaha

Neema ya Mungu ndani ya mpakwa mafuta Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira itakufanya ufurahie wema wa Bwana.

Mwaarifu na mwingine kwa kushare ujumbe huu.



'swil

01/09/2026

FAIDA ZA KUSIKIA NENO LA MUNGU



Umewahi kujiuliza kwa nini ni muhimu kusikia Neno la Mungu kila siku?

Neno la Mungu si maneno ya kawaida—lina nguvu ya kubadilisha maisha yako!

Ukitaka kufahamu kwa undani tembelea ukurasa wetu wa Facebook na Youtube




'sWill

Baada ya miezi minane ya utii na kumtumaini Mungu, mwezi huu wa tisa jambo jipya linakwenda kuzaliwa katika maisha yako....
01/09/2026

Baada ya miezi minane ya utii na kumtumaini Mungu, mwezi huu wa tisa jambo jipya linakwenda kuzaliwa katika maisha yako.

Kile kile ambacho Mungu amekuandalia kwa ajili ya maisha yako sasa kimefika wakati wake wa kutimia.

❤️ Ingia mwezi huu kwa imani, matarajio na moyo wa shukrani.
Pokea mwezi mpya, pokea jambo jipya, pokea kwa shukrani! 🙏✨



'swill

31/08/2026

MTUME MKUU JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA KANISA LA EFATHA.

Efatha Church Efatha TV Baraka Limo Efatha Church Iringa Efatha Church - Mafinga

Address

MTAA WA BOMANI
Mafinga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Church - Mafinga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha Church - Mafinga:

Shortcuts

Share