Salvation Gospel Choir

Salvation Gospel Choir Kwaya ya Vijana 'A'
kanisa la Moravian
Ushirika wa Mabibo

09/05/2026

SITAOGOPA
SITARUDI NYUMA
KWASABABU NAJUA ANAYENILINDA NI MKUU SANA TENA KULIKO VYOTE🙏💪🏽.
Tunakutakia maandaliza mazuri ya Jumapili ya kesho🙏

07/05/2026

MSEMAJI WA MWISHO NI MUNGU PEKEE.
YEYE AKISEMA JAMBO LOLOTE LAZIMA LIWE, HAIJALISHI HALI AU WAKATI UNAOPITIA
YEYE AKISEMA TU!!
IMEKUWA👏🏽.

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KIBALI.Tulishiriki ibada ya sikukuu ya VIJANA A  katika kanisa la Moravian  IBADA ILIKUWA NJEMA A...
05/05/2026

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KIBALI.
Tulishiriki ibada ya sikukuu ya VIJANA A katika kanisa la Moravian
IBADA ILIKUWA NJEMA AANA
YESU ALISHINDA TENA NA TENA👏🏽💪🏽🙏



04/05/2026

Nimesimama zamu yangu… nikingoja sauti ya Bwana. Sitakata tamaa, maana najua atanena kwa wakati wake

📖 Habakuki 2:1
“Nitasimama zamu yangu, nitaweka miguu yangu juu ya boma; nitalinda ili nione atakayoniambia, na nitajibiwa nini katika malalamiko yangu.”



30/04/2026

NI YESU!
Ametendaa yale ambayo hata kwa akili zetu TULISHINDWA.
Ungana na kupokea ujumbe huu utakao rejesha tabasamu kwako na familia yako.
BARIKIWA SANA👏🏽🙏


29/04/2026

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA UTUMISHI WENU,
Mmekuwa ni chachu ya kuwavuta vijana wengi kwa YESU.
Neema ya MUNGU izidi kuwatumia kila siku mlalapo na muamkapo

“Nimewaandikia ninyi vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu.”
— 1 Yohana 2:14
TUNAJIVUNIA NYIE💪🏽👏🏽

28/04/2026

KWANI MNACHEZAGA WAPI??

2 Samweli 6:21

“Daudi akamwambia Mikali, Ilikuwa mbele za Bwana, aliyenichagua mimi juu ya baba yako, na juu ya nyumba yake, ili kuniweka niwe mkuu juu ya watu wa Bwana, juu ya Israeli; kwa hiyo mimi nitacheza mbele za Bwana. “



28/04/2026



✨ UTUKUFU WOTE NI WA BWANA! ✨
Kwa unyenyekevu mkubwa tunamshukuru Mungu kwa neema ya kuimaliza siku hii ya kipekee ya Salvation Gospel Choir.
Hakuna k**a Yeye aliyetutoa mbali na kutuweka hapa tulipo leo.

📖 “Siyo kwa uwezo wala kwa nguvu, bali kwa Roho wangu, asema Bwana wa majeshi.” — Zekaria 4:6

Leo tunarudisha utukufu wote kwake, kwa sababu kila pumzi, kila wimbo, na kila hatua ni kwa neema yake


ASANTENI KWA KUJAUwepo wenu umebariki sana tukio hili!Bwana anatenda na bado anaendelea kutenda makuu 👏🏽Endeleeni kutufu...
26/04/2026

ASANTENI KWA KUJA
Uwepo wenu umebariki sana tukio hili!
Bwana anatenda na bado anaendelea kutenda makuu 👏🏽
Endeleeni kutufuatilia kwa nyimbo, matukio na baraka zaidi.
Mambo mengi mema na mazuri yanakuja
USIKAE MBALI NA PLATFORMS ZETU ZINAZOENDA KWA MAJINA YA


Zaburi 95:2
“Na tumfikie kwa shukrani, tumshangilie kwa zaburi.”


26/04/2026

NI LEO! 🔥
Usikose uwepo wa nguvu za sifa na kuabudu pamoja na Salvation Gospel Choir! 🎶✨
Njoo upokee neema, furaha na uwepo wa Mungu kwa kiwango kingine! 🙌

THAMANI YA MAISHA YAKO AIJUAYE NI MUNGU TU.



Address

Mabibo
21493

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salvation Gospel Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Salvation Gospel Choir:

Share