06/04/2022
Najua umeomba sana haujaona mabadiliko yoyote, ushofu Wala isolate tamaa; unadhihakiwa na kutukanwa upo kanisani hujapona, hujafanikiwa, hujaolewa, uchumi wako hauko vizuri pamoja na maombi uliyoomba. usivunjike moyo MUNGU AMEJIBU,MAOMBI YAKO, NI SWALA LA MUDA TU, utafurahi utainuliwa. Soma MWANZO. 32 : 24 - 30 Yakobo aliingia kutafuta uso wa Mungu akiwa yuko vizuri, alikutana na Mungu uso kwa uso, na nafasi yake imeokoka. Ila amerika kwa maombi amevunjika mfupa wa paja lake hakuangalia watu watasema nini, alijua jambo moja tu, nimebarikiwa sitaitwa Yakobo tena bali Israel. Ktk ulimwengu wa umebarikiwa, ni swala la muda tu watakuheshimu, EV, Thomas Vuriva