PAG LINDI

PAG LINDI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from PAG LINDI, Pentecostal Church, Lindi.

Dhima ya PAG (T) Lindi ni kumwabudu Mungu katika Roho na kweli na kuihuburi Injili katika nguvu za Roho Mtakatifu kwa kila mtu na kila mahali,kuanzisha na kuimalisha makanisa ya mahali yatakayokuwa chumvi na chachu ya mabadiliko ya kuleta Ufalme wa Mungu

Karibu sana ukutane na Yesu
19/10/2024

Karibu sana ukutane na Yesu

Matukio katika ibada nzuri ya Pasaka
01/04/2024

Matukio katika ibada nzuri ya Pasaka

Matukio Kanisa uhamasishaji wa ulinzi wa mtoto dhidi ya ukatiliwa wa watoto na wanawake katika Jamini yetu.''Kila mtoto ...
01/03/2024

Matukio Kanisa uhamasishaji wa ulinzi wa mtoto dhidi ya ukatiliwa wa watoto na wanawake katika Jamini yetu.
''Kila mtoto anastahili kujulikana ,kupendwa na kulindwa.''

Ziara ya mafunzo iliyofanyika radio mashujaa Fm kwa vijana na watoto wanaolelewa na kufundishwa na kanisani
17/01/2024

Ziara ya mafunzo iliyofanyika radio mashujaa Fm kwa vijana na watoto wanaolelewa na kufundishwa na kanisani

Watoto wanahudumia na kanisani wakifurahia sikukuuu ya Christmas
17/01/2024

Watoto wanahudumia na kanisani wakifurahia sikukuuu ya Christmas

Karibu ukutane Yesu
13/10/2023

Karibu ukutane Yesu

Siku ya Jana tulimwona Bwana karibu na Leo ukutane na Mungu
13/10/2023

Siku ya Jana tulimwona Bwana karibu na Leo ukutane na Mungu

Karibu kwenye mkutano mkubwa wa Injili utakaofanyika katika viwanja vya kanisa la PAG Lindi .K**a huku Lindi husipange k...
06/10/2023

Karibu kwenye mkutano mkubwa wa Injili utakaofanyika katika viwanja vya kanisa la PAG Lindi .
K**a huku Lindi husipange kukosa
Tarajia kukutana na Mungu

Sunday school mood
07/04/2023

Sunday school mood

Watoto wa kituo cha huduma ya mtoto wakihuduma kanisani
07/04/2023

Watoto wa kituo cha huduma ya mtoto wakihuduma kanisani

Ungana nasi katika maombi kujiombea wewe mwenyewe, familia ,kanisa  pamoja na taifa letu.
09/01/2023

Ungana nasi katika maombi kujiombea wewe mwenyewe, familia ,kanisa pamoja na taifa letu.

Asante Dr. Kwa kufika kukabidhi hizi zawadi kwa watoto wetu wazuri.Tunakuombea Baraka tele.
29/11/2022

Asante Dr. Kwa kufika kukabidhi hizi zawadi kwa watoto wetu wazuri.
Tunakuombea Baraka tele.

Address

Lindi
22P

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PAG LINDI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to PAG LINDI:

Share