26/03/2024
Ilikuwa ni Baraka saana kuhudumu Pamoja na Mtumishi wa Mungu Bishop Dr. Keneth Kasunga katika mji wa Bagamoyo.
Mungu alionekana akiokoa na kuponya wote walioonewa na ibilisi
paradiso choir ni kwaya inayomtumikia Mungu Kwa njia ya uimbaji. kwaya hii IPO chini ya Bishop Dr. Keneth Kasunga wa kanisa la EAGT Kyela Mbugani .
Mbugani
Kyela
Be the first to know and let us send you an email when Paradiso choir EAGT Kyela posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.