Goshen Tabernacle Ministry

Goshen Tabernacle Ministry Christian Church

14/03/2024

Join group la WhatsApp maombi tuu

Mungu anaketi mahali pa sifa
17/09/2023

Mungu anaketi mahali pa sifa

Habari ya leo! Hapa tupo zaidi ya watu 100, na wote tumeokoka na ni wafuasi wa Kristo Yesu, aliyetuagiza kwenda ulimweng...
16/09/2023

Habari ya leo! Hapa tupo zaidi ya watu 100, na wote tumeokoka na ni wafuasi wa Kristo Yesu, aliyetuagiza kwenda ulimwenguni mwote tukaihubiri injili kwakila kiumbe, njia pekee ya kuwafikia watu kwasasa ni kupitia channels za online, tutambue ulimwengu wa giza wanashirikiana sana kupambana na ulimwengu wa roho. Hivyo basi naomba unisaidie tuu *Kusubscribe* na *kushare* kwenye magroup mengine, channel yetu inahitaji *subscribers 50* ili Tuanze kuhubiri live na watu wengine tuwafikie ,Mimi na wewe tunajukumu al la kuwafikia. Na Kipekee niwashukuru wote mliofanya kusubscribe kwenye YouTube channel yetu,huu ndiyo upendo wa kweli na Mungu awabariki. Kwa ndugu ,rafiki na mpendwa ambaye haukubahatika *kusubscribe* naomba uwe sehemu ya baraka.
Bofya hapa πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½kisha *Subscribe*

And God has appointed these in the church: first apostles, second prophets, third teachers, after that miracles, then gifts of healings, helps, administratio...

Nitatoa vocha kwa wote watakaoshiriki shindano hili.Unachotakiwa kufanya ni #  #
12/09/2023

Nitatoa vocha kwa wote watakaoshiriki shindano hili.
Unachotakiwa kufanya ni
#
#

And God has appointed these in the church: first apostles, second prophets, third teachers, after that miracles, then gifts of healings, helps, administratio...

02/04/2023

KWANINI MAISHA YANGU HAYABADILIKI?
HIZI NI SABABU CHACHE UKIZIACHA UTAFANIKIWA SANA!
1. AINA YA MOYO WAKO
A. MOYO WA NJIANI-MOYO AMBAO HAUJALI SANA KUHUSU MUNGU.
B: MOYO WA MIBA- HUU NI MOYO AMBAO UMEJERUHIWA HIVYO KILA KINACHOKUJA MBELE YAKE NI KUJIHAMI ,HAUPO TAYARI KUSAMEHE,MOYO HUU UMEBEBA NEGATIVITY WALA HAUONI MAZURI.
C: MOYO WA JIWE - NI MOYO WENYE MISIMAMO HAUTAKI KABISA KUBADILIKA ,UKIAMBIWA KUFUNGA HAUTAKI KILA KITU KWAKE NI MISIMAMO.
D: MOYO MZURI - HUU HAUNA MAMBO MENGI UMEJAA SHUKRANI- HAUONI MABAYA ,HUONA MAZURI TU KATIKATI YA LUNDO LA MABAYA.

CHAGUA KUWA NA MOYO MZURI UTAFANIKIWA SANA NA MAISHA YAKO YATABADILIKA.

29/03/2023

*UNATAKA KUUONA MKONO WA MUNGU KWENYE ENEO LA UCHUMI (FEDHA) MWAKA 2023 BASI ZINGATIA HAYA...*

Ili Mkono Wa Bwana Ukufanikishie kwenye eneo la uchumi (fedha) Mwaka 2023 haitatokea hivihivi tu Bali Lazima Kuna Mambo Muhimu Uyazingatie na uyafanyeee ...

Na baadhi ya Hayo Mambo ni haya yafuatayoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

*(a) HAKIKISHA KIPAUMBELE CHAKO HAKIWI FEDHA BALI AWE NI MUNGU KWANZA*
Tamani Kumjua Mungu zaidi ,tamani Kuwa Karibu na Mungu zaidi ,tamani Kuona uhusiano Wako na Mungu ukiimarika na kukua ,
ZABURI 105:4

*(b) HAKIKISHA UNATOA KWA UAMINIFU ZAKA KWENYE KILA PESA UNAYOIPATA*
Katika Pesa Yoyote utakayoipata Hakikisha UNATOA ZAKA Kwanza ndipo Sasa uendelee na Matumizi Mengine uliyonayo,lakini Kamwe USIKUBALI KABISA KULA ZAKA , Hakikisha UNATOA ZAKA KWA UAMINIFU Siyo Leo umetoa ,kesho hutoi ,mwezi Huu umetoa mwezi ujao hutoi na tena toa Zaka KAMILI Siyo nusu ..MALAKI 3;9-10

*(d)FANYA KAZI KWA BIDII NA JUHUDI NA KWA UBUNIFU*
Hakikisha Mwaka 2023 una Shughuli unayofanya inayokuingizia kipato ,usikae tu Bila Kuwa na Shughuli ya kufanya ,Na Hakikisha unafanya kazi Kwa Juhudi na bidiii usifanye kazi Kilegevu legevu fanya Kwa bidii Kubwa K**a una biashara fanya Kwa bidii ,K**a umeajiriwa basi fanya kazi Kwa bidii , Katika Chochote unachofanya basi kifanye Kwa bidii
MITHALI 10:4 MITHALI 22;29
Piga kazi Kwa bidii Ili uuone Mkono Wa Mungu Maishani Mwako kwenye eneo la Uchumi

*(e)KUWA NA NIDHAMU YA FEDHA /MAKINI NAMNA YA KUTUMIA KILA FEDHA INAYOPITA MIKONONI MWAKO*
Epuka Kabisa kutumia Fedha zako Hovyohovyo , Bila Kuwa na Mpangilio unaoeleweka ,Kila ukipata Hela Siyo tu mara umenunua hiki ,mara Kile Yani Huna Nidhamu Kabisa ,umepata elf 20 kesho huna Hata mia
Jifunze Kuwa na Nidhamu Katika Kutumia Kila Fedha unayopata ,Tumia fedha Kwa Mpangilio, unaoeleweka ,Mzurii ili fedha ikae na uwekeze Katika Kitu KINGINE Ili kutanua vyanzo Vyako ya Mapato ..Mungu hawezi Kukupa zaidi K**a Matumizi Mazuri ya fedha

2023 Jifunze Kuwa na budget na Mpangilio Mzurii hakika utauona Mkono Wa Bwana Ukufanikishie kwenye eneo la uchumi na Fedha
Mfano Kwenye Kila fedha nitakayopata Kiasi nitatoa Zaka ,Sadaka Fulani ,asilimia nitatoa Kwa Mtumishii Fulani Hii Kwa wazaz na Hii akiba

*(f)WAKUMBUKE WAZAZI WAKO /WALEZI WAKO WALIOKULEA*
Wazazi ni Kundi Mojawapo Wenye UWEZO WA KUBARIKI hivyo Usiishie tu Kutoa kanisani,Kwa Watumishi,Sijui Injili No Wakumbuke Pia Wazazi Wako ama K**a hauna wazazi basi walezi waliokulea Usiwahau ,Tenga Kila mwezi au Kila Wakati unapopata fedha Wategemeze Usisubiri Wakuombe

*(g) HAKIKISHA UNASAPOTI INJILI KWA SADAKA YAKO*
Mojawapo Ya Jambo lenye baraka sana ukilifanya Kwa Moyo Wote ni KUSABABISHA INJILI KUHUBIRIWA,KUWAFIKIA WENGI KWA SADAKA YAKO

Hakikisha unafanya Kitu Kwa Sadaka Yako Kwa Mtumishi anayebariki Maisha Yako,anayekupa Kupiga Hatua Kupitia Mafundisho Yake ,Kwa Mtumishi anayehubiri Kweli Ya MUNGU na Mwenye Moyo wa Kuona Watu wanaokolewa

*(h)HAKIKISHA UNAWEKA AKIBA*
Kuwa na Akiba ni Mojawapo ya Kanuni ya kifalme ,hivyo Hakikisha unaweka mkakati wa kuweka Akiba kwenye Kila Pesa unayoipata , Jizoeze Kwenye Kila Pesa Unayopata asilimia Kumi unaweka k**a AKIBA Kwa ajili Ya kukusaidia Wakati Mwingine ambao utakuwa na uhitaji Mkubwa Sana

Natumaini Umejifunza Kitu YAFANYIE KAZI

Mungu akubariki
10/03/2023

Mungu akubariki

17/02/2023

Tutakua na maombi usiku kuanzia tarehe 01/03/2023
K**ata #

Group call invite

Tutakua na maombi usiku kuanzia tarehe 01/03/2023K**ata  #  Nimatumaini yangu kila mwenye changamoto ambayo anaona imesh...
17/02/2023

Tutakua na maombi usiku kuanzia tarehe 01/03/2023
K**ata #
Nimatumaini yangu kila mwenye changamoto ambayo anaona imeshindikana ,hakika nakuhakikishia kuwa ni wakati wa kutoka. Mungu atakuhudumia. Nisaidie # na k**a haujadownload # hii ya meet fanya haraka uwe nayo

Group call invite

14/02/2023

No Compromise
Isiah 46:10

Address

Kyela
0025

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goshen Tabernacle Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Goshen Tabernacle Ministry:

Share