CAG Korogwe

CAG Korogwe OFFICIAL PAGE OF CALVARY ASSEMBLIES OF GOD (CAG) MAXIMUM MIRACLE CENTRE -KOROGWE TANGA
LORD JESUS IS OUR LORD AND SAVIOR

your place to grow spiritually in Korogwe

Mwaka 2025 ,MWAKA WA KUMILIKI!
01/01/2025

Mwaka 2025 ,
MWAKA WA KUMILIKI!

Siku ya 3Mkutano unaendelea!!Mungu ameendelea kutenda miujiza siku ya leoWatu wamefunguliwa!Kumbuka kesho tunaendelea Wa...
28/06/2024

Siku ya 3

Mkutano unaendelea!!

Mungu ameendelea kutenda miujiza siku ya leo
Watu wamefunguliwa!

Kumbuka kesho tunaendelea
Walete wenye shida mbali mbali zilizoshindikana

Kuanzia saa tatu kamili asubuhi mtume atakuwepo kanisa la Calvary assemblies of God

Wote mnakaribishwa!!

Leo tunaendelea SIKU YA TATU MUDA NI SAA 9-12 JIONIWALETE WAGONJWA!WENYE MATATIZO SUGUWATAFUNGULIWA!YESU Kristo anatenda...
28/06/2024

Leo tunaendelea
SIKU YA TATU

MUDA NI SAA 9-12 JIONI
WALETE WAGONJWA!
WENYE MATATIZO SUGU
WATAFUNGULIWA!
YESU Kristo anatenda miujiza kwa kumtumia mtumishi wake
Mtume: MABOYA

KARIBUNI SANA!!

Tumeuona mkono wa Mungu leo akitenda miujiza na kuponya!Kwa kupitia mtumishi wake Mtume MABOYA!HUJACHELEWA!!!KESHO NI SI...
27/06/2024

Tumeuona mkono wa Mungu leo akitenda miujiza na kuponya!
Kwa kupitia mtumishi wake Mtume MABOYA!

HUJACHELEWA!!!

KESHO NI SIKU YA TATU!!

walete wenye shida na magonjwa yaliyoshindikana!

Kuanzia saa tatu kamili asubuhi mtume atakutana na mtu mmoja mmoja
Mahali ni kanisa la calvary assemblies of God,
Nyuma ya Idara ya maji

Ama piga namba hii
0789 704 465

Karibu muujiza wako upo!!

Karibu sana kwenye mkutano huu Leo ni siku ya pili Muda ndio huu Endelea kusogea uwanja wa mazoezi Manundu hapa,Kuna muu...
27/06/2024

Karibu sana kwenye mkutano huu

Leo ni siku ya pili

Muda ndio huu
Endelea kusogea uwanja wa mazoezi Manundu hapa,
Kuna muujiza wako leo

Karibu katika mkutano huu mkubwa wa injili,Mkazi wa Korogwe,Na maeneo jirani,Tayari Yesu Kristo yupo kukuhudumia!Usipang...
25/06/2024

Karibu katika mkutano huu mkubwa wa injili,
Mkazi wa Korogwe,
Na maeneo jirani,
Tayari Yesu Kristo yupo kukuhudumia!
Usipange kukosa,
Tunaanza kesho tarehe 26 -30!!

Walete wagonjwa na wenye shida mbali mbali zilizoshindikana,
Yesu Kristo atawafungua kabisa!

MKESHA MKESHA MKESHA!Ijumaa hii (24.05.2024), hapa maximum miracle Centre MAJENGO KOROGWE, TUTAKUWA Na Ibada ya mkesha a...
23/05/2024

MKESHA MKESHA MKESHA!

Ijumaa hii (24.05.2024), hapa maximum miracle Centre MAJENGO KOROGWE, TUTAKUWA Na Ibada ya mkesha ambayo haijawahi tokea!

NJOO na Rafiki yako.
#1. Unataka uponyaji wa mwili wako?
#2. Unataka binti yako apone?
#3. Unataka ndoa yako ipone?
#4. Unataka Biashara yako ipone?
#5. Unataka mtoto?
#6. Unataka nyota yako ing'ae Tena?
#7. Unataka nyumba yako ipone?
#8. Unataka utendewe Jambo Gani?

BASI, MKESHA HUU NI KWA AJILI YAKO!
NJOO!!!!

RATIBA ZETU HAPA MAXIMUM MIRACLE CENTRE KUANZIA MWEZI JULAI 2023JUMAPILI: SAA 2:00 ASUBUHI - 3:30 ASUBUHI (IBADA YA KWAN...
23/08/2023

RATIBA ZETU HAPA MAXIMUM MIRACLE CENTRE KUANZIA MWEZI JULAI 2023

JUMAPILI:
SAA 2:00 ASUBUHI - 3:30 ASUBUHI (IBADA YA KWANZA)
SAA 3:40 - 6:40 MCHANA (IBADA YA PILI)

JUMATANO

SAA 10:30 - 11:30 JIONI (JIFUNZE BIBLIA- IBĂ€DA YA KWANZA)
SAA 1:00 USIKU - 2:00 USIKU (IBADA YA PILI)

IJUMAA

SAA 10:30 JIONI - 11:30JIONI (MAOMBI- IBADA YA KWANZA)
SAA 1:00 USIKU - 2:00 USIKU (IBADA YA PILI)

JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12:00 ALFAJIRI HADI SAA 1:00 ASUBUHI: MAOMBI YA ASUBUHI (MORNING GLORY).

*****KARIBU SANA UABUDU NASI. TUNAKUPENDA!!!! WEWE NI WA THAMANI SANA!!!!!!

SHALOM

19/02/2023

Ibada ya kusifu hapa maximum miracle centre, CAG Majengo korogwe Leo 19.02.2023

MKESHA WA kuaga na kukaribisha mwakaKaribuni nyote kwenye mkesha waaina yake hapa kanisani CAG Majengo Korogwe utakaoanz...
31/12/2022

MKESHA WA kuaga na kukaribisha mwaka

Karibuni nyote kwenye mkesha waaina yake hapa kanisani CAG Majengo Korogwe utakaoanza saa 1:30 Hadi saa 6:30 usiku.
Njoo tumsifu BWANA. Leta zana yoyote yenye kutoa sauti (limbi, Ngoma, vuvuzela, ...) Ili tumwinue Mfalme wetu na kumshukuru.
Njoo na rafiki zako.
Shalom

Tunaendelea na Ujenzi hapa Maximum miracle center KorogweKaribu ushiriki nasi Kwa mchango na maombi!Wasiliana nasi0789 7...
10/12/2022

Tunaendelea na Ujenzi hapa Maximum miracle center Korogwe

Karibu ushiriki nasi Kwa mchango na maombi!
Wasiliana nasi
0789 704 465

Address

Korogwe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CAG Korogwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to CAG Korogwe:

Share