Vijana KKKT Usharika Wa Kongwa

Vijana KKKT Usharika Wa Kongwa Kurasa maalumu kwa ajili ya taarifa mbalimbali za kikiristo kwa washarika na wadau wa KKKT Kongwa.

20/05/2024
Mchungaji kiongozi wa KKKT usharika wa Kongwa mjini Mch Nyato akitoa neno la Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa vijana KKKT Kon...
18/03/2024

Mchungaji kiongozi wa KKKT usharika wa Kongwa mjini Mch Nyato akitoa neno la Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa vijana KKKT Kongwa March 10 2024

Katika Mkutano huo neno kuu lilikuwa ni Ezra 10:1-4 (INUKA MAANA SHUGHULI HII YAKUHUSU WEWE)

Maendeleo ya ujenzi wa kanisa la KKKT Usharika wa Kongwa tafadhari unaweza kushiriki Baraka za ujenzi huu kwa mchango wa...
10/12/2023

Maendeleo ya ujenzi wa kanisa la KKKT Usharika wa Kongwa tafadhari unaweza kushiriki Baraka za ujenzi huu kwa mchango wako kupitia 50303300001 jina - KKKT Ujenzi Akaunti.

Au wasiliana na uongozi kupitia namba
0754638870/ 0755307101

Mungu akubariki.

Siku ya Jana Vijana wa KKKT usharika wa Kongwa tulitembelewa na ugeni kutoka Ujerumani katika mradi wetu wa ufugaji Nyuk...
06/08/2023

Siku ya Jana Vijana wa KKKT usharika wa Kongwa tulitembelewa na ugeni kutoka Ujerumani katika mradi wetu wa ufugaji Nyuki kwa ajili ya kupeana uzoefu wa namna ya kutumia fursa zilizopo katika mazingira yanayotuzunguka na jinsi ya kukabiliana na mabadiriko ya Tabia nchi.

Leo viongozi wa Vijana wa usharika wa Kkkt Kongwa tulipata wasaha wa kualikwa katika kipindi cha WAJIBU WA VIJANA kilich...
29/07/2023

Leo viongozi wa Vijana wa usharika wa Kkkt Kongwa tulipata wasaha wa kualikwa katika kipindi cha WAJIBU WA VIJANA kilichoendeshwa na Radio ZABIBU FM ya Kongwa Dodoma.

Yako mambo mengi na maoni mengi ambayo yametolewa kuhusu wajibu wa vijana katika kanisa na changamoto zake na miongoni mwa changamoto kubwa inayowakumba vijana kutokuwajibika katika makanisa yao ni Matokeo ya mapokeo yasiyosahihi yanayohusu UTANDAWAZI.

Address

K. K. K. T Street
Kongwa

Telephone

+255755307101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vijana KKKT Usharika Wa Kongwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share