Madrassatil Uluumi Shar'iyyah مدرسة العلوم الشرعية

Madrassatil Uluumi Shar'iyyah مدرسة العلوم الشرعية مدرسة العلوم الشرعية في تنزانيا أسست سنة ٢٠١٧.

تتكون المدرسة من قسمين رئيسيين:
(١) قسم تحفيظ القرآن الكريم
(٢) قسم الدراسات العالمية

01/07/2026
ZAKATUL FITRI🟢 Ni wajibu kwa kila Muislamu kujitolea Zakatul Fitri kwa ajili yake na familia yake.🟢 Kila mtu anatakiwa k...
27/02/2026

ZAKATUL FITRI
🟢 Ni wajibu kwa kila Muislamu kujitolea Zakatul Fitri kwa ajili yake na familia yake.
🟢 Kila mtu anatakiwa kutoa kilo 2½ za mchele sawa na TSH 7,500/=.
🟢 Mfano:
Familia yenye mume, mke na watoto watatu = watu 5
Baba atawajibika kutoa:
7,500 × 5 = TSH 37,500/=
🟢 Tuna wanafunzi wa bweni masikini wanaohifadhi Qur’ani ambao wanastahiki kupewa kipaumbele, kwani mara nyingi hawapati uangalizi wa kutosha.
🟢 Tuma Zaka yako kupitia Tigo Pesa: 0712 823 395
Jina: Mahmoud Qudra Mtamike
(Mwalimu Mkuu – Madrasa Til Uluumi Shar'iyyah)
📱 WhatsApp: 0692 824 414
Piga simu kwa maelezo zaidi au maswali.
Allah akubali Zakat zenu na azijaalie ziwe sababu ya kheri na baraka. Ameen.

Madrasat Uluumi Shar'iyyah  night view
15/12/2025

Madrasat Uluumi Shar'iyyah night view

Address

Mlandizi
Kisarawe

Telephone

+255692824414

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madrassatil Uluumi Shar'iyyah مدرسة العلوم الشرعية posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share