Efatha church ilamba

Efatha church ilamba entertainment bloger

09/02/2024

TAWIRI WAEMDELEA NA TAFITI UGONJWA ULIOATHIRI ASILIMIA 62 YA TWIGA HIFADHI YA TAIFA RUAHA.FullShangwe BlogJan 23, 2024Read original Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) inaendelea kufanya tafiti zaidi juu ya madhara na matibabu ya ugonjwa wa ngozi wa Twiga ambao matokeo ya awali yameo...

22/08/2023
20/08/2023

Nice 🌞 day

20/08/2023

Nani aliye muua Abili?
-Ndugue.
Nani aliye muuza Yusufu?
- Ndugu zake.
Nani aliye fukuza Yeftha?
-Ndugu zake.
Nani aliye oneawivu Daudi ?
-Ndugu zake.
Nani aliye kasirikia kurudi kwa mwana mpotevu?
-Ndugu Yake.

Katika mifano nyingi, tunaona kwamba walewalio salitiwa na kuteswa na wandugu zao wakibaolojia, baadaye walibarikia na Mungu kuwainua.

Haijalishi mioyo ya watu, naomba hivi: Mungu akubariki, Na kukuepusha, akuhifadhi mikononi mwake salama Katika jina la Yesu Kristo. Amina.

KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI K**A IFUATAVYO:(1) 9+1=70(2) 9+2=11(3) 9+3=12(4) 9+4=13(5) 9+5=14(...
20/08/2023

KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI K**A IFUATAVYO:

(1) 9+1=70
(2) 9+2=11
(3) 9+3=12
(4) 9+4=13
(5) 9+5=14
(6) 9+6=15
(7) 9+7=16
(8) 9+8=17
(9) 9+9=18
(10) 9+10=19

Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza.

Akawatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
'''"Nimejikosesha lile swali la kwanza makusudi, kwasababu nilihitaji mjifunze kitu kimoja muhimu sana.

Mnapaswa kujua namna ambavyo dunia inaweza kuwachukulia. Unaona hapo, nimeandika kwa usahihi maswali tisa (9), lakini hakuna kati yenu aliyenipongeza kwa hilo; wote mmecheka na kunilaumu kwasababu ya kosa moja tu nililofanya."'''

HIVYO, HILO NI SOMO KWENU:

'''"Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu..."''' '''

Mambo tisa (9) muhimu ya kuzingatia ili uishi na watu vizuri:

1. Usiishi na hasira, kinyongo Wala Visasi.

2. Maovu usiyaishi, heshimu wanajamii.

3. Usiamue kabla ya kupata ukweli.

4. Chukulia kila mwanadamu ni Mkosaji, Bali Siyo mwenye dhambi.

5. Usijenge chuki nje ya suluhu

6. Epuka kusukumwa kutenda nje ya Imani yako.

7. Usipende *Ugomvi.*

8. *Subiri, sikiliza, elekeza, vumilia, Jifunze.*

9. Ishi na akiba ya maneno. Tutunze ndimi zetu

Ishi vizuri na watu sababu utadumu nao. Bali Mali huisha, Mamlaka hukoma, Mfadhili Siyo wa milele.

MUNGU NI MWEMA sanaK**a unaamini sema amen
19/07/2023

MUNGU NI MWEMA sana
K**a unaamini sema amen

He wish you good night by the name of Jesus
12/07/2022

He wish you good night by the name of Jesus

Your Saturday is blessed
02/04/2022

Your Saturday is blessed

Address

Ilamba
Kisarawe
ZIP

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha church ilamba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Efatha church ilamba:

Share