Y.M.Magembe

Y.M.Magembe Yohana Magembe is a Pentecostal Pastor/Preacher and Director of Global Mission International from United Republic of Tanzania.

13/08/2026

Need a place of worship? Be sure to join us every
Tuesday 18:30
Friday 18:30
Sunday 09:00

You will be blessed.
📍Kimara Korogwe DSM
📞 +255 (0) 745 800 060

Ayubu 38:28  Je! Mvua ina baba? Au ni nani aliyeyazaa matone ya umande?
07/08/2026

Ayubu 38:28 Je! Mvua ina baba? Au ni nani aliyeyazaa matone ya umande?

29/07/2026

Njia ya ku bahatisha ni ngumu kuliko njia ya kumtafuta Mungu mpaka aseme. Mathayo 7:7 Omba, Tafuta, Bisha.

25/07/2026

Waebrania 5:7 Yeye, siku hizo za mwili wake, alimtolea yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu;

MUNGU Umchagua amtakaye na kumtumia amtakaye. Hategemei maoni ya mwanadamu.For God said to Moses, “I will show mercy to ...
20/07/2026

MUNGU Umchagua amtakaye na kumtumia amtakaye. Hategemei maoni ya mwanadamu.

For God said to Moses, “I will show mercy to anyone I choose, and I will show compassion to anyone I choose.”
Rom 9:15

18/07/2026

SOMA NENO
Yoshua 1:8 Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.

15/07/2026

📌

13/07/2026

Moja kati ya swali gumu kwa siku tulizonazo ni Je kesho ya watoto wetu ikoje? Kizazi kijacho kitakuwaje? Usalama wa kitabia wa watoto wetu uko wapi? Na jibu la swali hili kutoka kwenye Biblia linatupa na kutukumbusha wajibu mkuu wa mzazi. KULEA. Mithali 22:6 "Mlee mtoto katika njia Impasayo...."

12/07/2026

MUNGU WETU NI MUNGU WA VIZAZI.

Jambo moja Kubwa Daudi anamwambia Suleman ni kumjua Mungu wa Baba yake

1 Mambo ya Nyakati 28:9 Nawe, Sulemani mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa moyo mkamilifu, na kwa nia ya kumkubali; kwa kuwa Bwana hutafuta-tafuta mioyo yote, na kuyatambua mawazo yote ya fikira; ukimtafuta, ataonekana nawe; ukimwacha, atakutupa milele.

Njia kuu ambayo mtu anaweza kumjua Mungu na kupokea mema mengi kutoka kwa mababa ni kukubali kukaa chini ya malezi. Mungu akisaidie kizazi changu kuelewa nafasi ya wazee na wazee wetu wapate neema ya kulea kizazi kinachoinuka chenye sifa ya ugumu na kutokueleweka. Amani Tanzania.

21/04/2026

Moja kati ya Jambo la lazima kuamua na kufanya intentional katika zama za leo ni kuishi kwa kufuata kanuni za kiMUNGU na kufukuzia matokeo ya ki Mungu. Tatizo kubwa tulilo nalo leo, wengi wanamtafuta Mungu nje ya kanuni alizoweka. Tembelea Youtube.. Nimeongea kanuni NNE za msingi. karibu sana. You will be blessed.

Address

Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Y.M.Magembe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Y.M.Magembe:

Shortcuts

Share