TAG Mbezi Beach - Baraka Centre

TAG Mbezi Beach - Baraka Centre Mbezi Beach Christian Center is a Tanzania Assemblies of God Ministry/Enterprise, located in Mbezi Beach B, opposite Jogoo area beside Karibu Art Gallery.

The senior pastor is Pastor Roberts Hillary.

RATIBA MPYA YA IBADA ZA WIKI. KARIBU ABUDU NASIπŸ”₯πŸ”₯
28/05/2026

RATIBA MPYA YA IBADA ZA WIKI.
KARIBU ABUDU NASI
πŸ”₯πŸ”₯

Sunday Recap πŸ“Έ  Ratiba Mpya ya ibada za Jumapili:SAA 1:00 ASUBUHI - SAA 2:00 ASUBUHI: MAOMBISAA 2:00 ASUBUHI - SAA 4:00 ...
28/05/2026

Sunday Recap πŸ“Έ Ratiba Mpya ya ibada za Jumapili:
SAA 1:00 ASUBUHI - SAA 2:00 ASUBUHI: MAOMBI
SAA 2:00 ASUBUHI - SAA 4:00 ASUBUHI: IBADA YA KWANZA
SAA 4:00 ASUBUHI - SAA 4:45 ASUBUHI: FELLOWSHIP & BREAKFAST
SAA 4:45 ASUBUHI - SAA 7: MCHANA: IBADA YA PILI

Idara ya watoto na wanafunzi ya  inakukaribisha kwenye ibada maalumu ya USIKU WA KANISA NA MALEZI YA WATOTO. Itafanyika ...
20/05/2026

Idara ya watoto na wanafunzi ya inakukaribisha kwenye ibada maalumu ya USIKU WA KANISA NA MALEZI YA WATOTO. Itafanyika siku ya Ijumaa t22/05/2026 Saa 7:00 hadi 9:00 Usiku. Kutakuwa na majadiliano ya Pamoja.
Hii ni kwa Watu wote sio wazazi pekee

Chai na Vitafunwa vitakuwepo.

CMF DAY RECAP: Wanaume wakikabidhi bahasha ya Kutambua huduma ya Mchungaji na nyumba yake. Pamoja na picha ya pamoja.
09/05/2026

CMF DAY RECAP: Wanaume wakikabidhi bahasha ya Kutambua huduma ya Mchungaji na nyumba yake. Pamoja na picha ya pamoja.

03/05/2026

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯CMF DAY (SIKUKUU YA WANAUME) - TAG MBEZI BEACH πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

03/05/2026

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯CMF DAY - TAG MBEZI BEACH πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Sunday Recap: Tumekuwa kwenye mfululizo wa somo la UTU WEMA k**a tunda la Roho na faida zake (Wagalatia 5:22-23). Na moj...
30/04/2026

Sunday Recap: Tumekuwa kwenye mfululizo wa somo la UTU WEMA k**a tunda la Roho na faida zake (Wagalatia 5:22-23).

Na moja ya ishara za utu wema ni pamoja na: Mtu mwenye utu wema ana hisi k**a wengine wanavyohisi (huruma), Mtu wenye utu wema ana kiasi, Mtu mwenye utu wema ana heshimu wengine, wokovu ni ishara ya utu wema.

Utu wema ni msingi muhimu katika maisha ya mtu yeyote aliyeokoka na ni ishara ya utendaji Roho Mtakatifu ndani ya maisha ya Mkristo.

Pastor

Sunday Worship Highlights πŸ“Έ
26/04/2026

Sunday Worship Highlights πŸ“Έ

Last Sunday's Recap πŸ“Έ
24/04/2026

Last Sunday's Recap πŸ“Έ

Address

Mbezi Beach Jogoo
Kinondoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255786234284

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Mbezi Beach - Baraka Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share