EAGT Nazareth City Center

EAGT Nazareth City Center Religious Organization

23/10/2022

Nguvu ya Mungu ndani ya mtu.

Bwana anendelea kuponya anafanya yasiyowezekana kwa wanadamu. Bibi Joyline na Dennis Chalamila wakimshukuru Mungu. Kati ...
13/02/2022

Bwana anendelea kuponya anafanya yasiyowezekana kwa wanadamu. Bibi Joyline na Dennis Chalamila wakimshukuru Mungu. Kati ya mengi ambayo Bwana Yesu ametenda kupitia Mchungaji Augustino Mgata wa EAGT Nazareth City center hapa Dar es Salaam ni uponyaji wa ugonjwa wa Kisukari.
Karibu nawe uweze kuhudumiwa Yesu anatenda.

https://youtu.be/cpQXMXn6w_Q
21/06/2021

https://youtu.be/cpQXMXn6w_Q

Marko 11:22_23Waefeso 6:16Kuijenga ngao ya imani. Kwa Mkristo ni mhimu sana kuwa na imani. Imani lazima iwe imara ili kuweza kusimama na kurejesha kila kili...

Dr. Alfonce Mwanjala umemaliza utumishi wako hapa duniani. Pumzika kwa amani.
12/04/2021

Dr. Alfonce Mwanjala umemaliza utumishi wako hapa duniani. Pumzika kwa amani.

Ukirejesha furaha kwa mtu mmoja
22/03/2021

Ukirejesha furaha kwa mtu mmoja

22/03/2021

Uongozi wa kanisa la EAGT Nazareth City Center pamoja na kuendelea na maombi na maombezi kwa wenye shida umetoa baiskeli ya walemavu (Wheelchair). Yesu Kristo panapo majira yake ataachilia uponyaji juu yako Isaya, ni sauti ya pamoja. Ikiwa umeguswa na hili unaweza tamka neno moja kwa Isaya.

14/02/2021

Mungu awabariki kwa huduma nzuri ya kumpumzisha baba yetu Mzee Victor Mlingo Ngwada 1945_2021. Mwendo umeumaliza na imani umeilinda. Umetangulia kwenye makao ya umilele. Sisi ambao tupo kwenye kwenye miili hii tuendelee kumtumaini na kumuishia yeye hadi siku ya kuitwa kwake Kristo.

12/01/2021

2 Petro 3:1
Wapenzi, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika zote mbili naziamsha nia zenu safi kwa kuwakumbusha,

2 Petro 3:2
mpate kuyakumbuka yale maneno yaliyonenwa zamani na manabii watakatifu, na ile amri ya Bwana na Mwokozi iliyoletwa na mitume wenu.

2 Petro 3:3
Mkijua kwanza neno hili ya kwamba katika siku za mwisho watakuja na dhihaka zao watu wenye kudhihaki, wafuatao tamaa zao wenyewe,

2 Petro 3:4
na kusema, Iko wapi ahadi ile ya kuja kwake? Kwa maana, tangu hapo babu zetu walipolala, vitu vyote vinakaa hali iyo hiyo, tangu mwanzo wa kuumbwa.

2 Petro 3:5
Maana hufumba macho yao wasione neno hili ya kuwa zilikuwako mbingu tangu zamani, na nchi pia, imefanyizwa kutoka katika maji, na ndani ya maji, kwa neno la Mungu;

2 Petro 3:6
kwa hayo dunia ile ya wakati ule iligharikishwa na maji, ikaangamia.

2 Petro 3:7
Lakini mbingu za sasa na nchi zimewekwa akiba kwa moto, kwa neno lilo hilo, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu.

2 Petro 3:8
Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni k**a miaka elfu, na miaka elfu ni k**a siku moja.

2 Petro 3:9
Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, k**a wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.

2 Petro 3:10
Lakini siku ya Bwana itakuja k**a mwivi; katika siku hiyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitaunguzwa, na kufumuliwa, na nchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea.

2 Petro 3:11
Basi, kwa kuwa vitu hivi vyote vitafumuliwa hivyo, imewapasa ninyi kuwa watu wa tabia gani katika mwenendo mtakatifu na utauwa,

2 Petro 3:12
mkitazamia hata ije siku ile ya Mungu, na kuihimiza; ambayo katika hiyo mbingu zitafumuliwa zikiungua, na viumbe vya asili vitateketea na kuyeyuka?
2 Petro 3:13
Lakini, k**a ilivyo ahadi yake, mnatazamia mbingu mpya na nchi mpya, ambayo haki yakaa ndani yake.
2 Petro 3:14
Kwa hiyo, wapenzi, kwa

09/01/2021

Mchungaji Augustino Mgata kwa kushirikiana na baraza la wazee wa kanisa wanakuarika kwenye ibada jumapili hii ya tar 10.1.2021.
Walete wanafunzi waombewe baraka, pia wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa maana hakuna lisilowezekana kwa Bwana Yesu.

2021 NI MWAKA WA KUINULIWA KWAKO USIKUBALI KUIKOSA.

08/01/2021

Furahini katika Bwana tena nasema furahaini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu (Filp 4:4_5).
Mungu wa mbinguni awape furaha katika Kristo Yesu. Endelea kuamini, endelea kutumaini, endelea kuwapenda wengine maana Sasa inadumu
IMANI TUMAINI NA UPENDANO (1Kor 13:13). Ameni

Address

Kimara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Nazareth City Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to EAGT Nazareth City Center:

Share