Fpct Usseri Church

Fpct Usseri  Church FPCT-USSERI,TUMEJENGWA JUU YA MISINGI YA KANUNI ZA BIBLIA,TUNATUMIKA KWA ROHO YA UBORA,UADILIFU,HURU

10/05/2026

fans Friends

06/05/2026

HONGERA SANA DADA RAHABU GENES ( MSHIRIKA WA FPCT-USSERI) KWA KUVISHWA PETE YA UCHUMBA NA KUWEKA WAZI UCHUMBA WENU NA NDUGU JOSEPH PETER (MSHIRIKA WA FPCT TARAKEA). MUNGU AWATANGULIE ILI KUTIMIZA HATUA NYINGINE ZILIZOBAKI KUELEKEA KWENYE NDOA TAKATIFU.

fans Friends Fpct Usseri Church

02/05/2026

Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.

fans Friends. Fpct Usseri Church

28/04/2026

TUNAKUSHUKURU MUNGU WETU WA MBINGUNI KWA MATENDO MAKUU MAISHANI MWETU, MIOYO YETU INANYENYEKEA MBELE ZAKO BABA.🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻.HAKIKA HAKUNA MUNGU K**A WEWE🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️

27/04/2026

KUOKOKA SIO KIBALI CHA KWENDA AU KUFIKA MBINGUNI ,ILI KUFIKA MBINGUNI KUNA GHARAMA ZAKE....KUTOKA KWA MTUMISHI WA MUNGU ERICK SABAS OISSO ,,,JUMAPILI 26/04/2026 fans Friends Fpct Usseri Church

26/04/2026

Haleluya. Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Sifa zake katika kusanyiko la watauwa..
Israeli na amfurahie Yeye aliyemfanya, Wana wa Sayuni na wamshangilie mfalme wao.
Na walisifu jina lake kwa kucheza, Kwa matari na kinubi wamwimbie. fans Fpct Usseri Church Friends

23/04/2026

MUNGU MTENDA MIUJIZA ANAPATIKANA MAHALI HAPA ( FPCT-USSERI ROMBO).
KARIBU IBADANI JUMAPILI HII TAREHE 26/04/2026. UKUTANE NA IBADA ILIYOJAA NGUVU ZA MUNGU TUKIONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU Pst. GENES SILAYO...MAHALI NI USSERI SOKO JIPYA, ROMBO- KILIMANJARO

22/04/2026

ZABURI 33:2

Mshukuruni BWANA kwa kinubi, Kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa. fans Fpct Usseri Church Friends

21/04/2026

ONA NEEMA WALIYO NAYO WENGINE, ONA BARAKA ILIYO NDANI YA WENGINE- MCH CLEOPA KWEKA

05/04/2026

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

05/04/2026

Enjoy the videos and music that you love, upload original content and share it all with friends, family and the world on YouTube.

Address

USSERI SOKO JIPYA(ROMBO)
Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fpct Usseri Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share