MTBC Ministries

MTBC Ministries This is a born again church located in Moshi Tanzania, with the aim of winning lost souls for Christ and bring delivarance and revelation to the nations

KARIBU KANISANI BADO HAUJACHELEWA MTU WA MUNGU πŸ‘
06/09/2026

KARIBU KANISANI BADO HAUJACHELEWA MTU WA MUNGU πŸ‘

πŸ‘‘ TALITHA K*M β€” RISE UP, DAUGHTER OF THE KING! πŸ‘‘Dada/Binti, huu ni wakati wako wa kuinuka, kujengwa, kuimarishwa na kuku...
01/09/2026

πŸ‘‘ TALITHA K*M β€” RISE UP, DAUGHTER OF THE KING! πŸ‘‘

Dada/Binti, huu ni wakati wako wa kuinuka, kujengwa, kuimarishwa na kukumbushwa wewe ni nani ndani ya Kristo. πŸ’•βœ¨

Karibu kwenye kusanyiko maalum wa mabinti wa Mfalme, wenye maombi, Neno la Mungu, michezo, brunch, maswali na majibu pamoja na Business Showcasting.

πŸ“– β€œTalitha Kum…” β€” Marko 5:41

πŸ“… 19 September
⏰ 12:00 PM – 5:00 PM
πŸ“ MTBC Kiborloni kwa Alphonce
πŸ’° Fee: 10,000/=
πŸ‘– Dress Code: Denim

πŸ‘‘ Rise up, Daughter of the King. Your time is NOW!

    TUNASHUKURU KWA KUABUDU PAMOJA NASI.UNAWEZA KUTUFUATILIA YOUTUBE (MTBC MINISTRY) NA PIA FOUNTAIN RADIO 89.7 SAA TATU...
30/08/2026


TUNASHUKURU KWA KUABUDU PAMOJA NASI.
UNAWEZA KUTUFUATILIA YOUTUBE (MTBC MINISTRY) NA PIA FOUNTAIN RADIO 89.7 SAA TATU USIKU JUMAPILI KWA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU. TUNAKUKARIBISHA KATIKA IBADA ZA KATI YA WIKI (JUMATANO NA IJUMAA SAA 11 JIONI) HAPA KANISA LA MTBC KWA ALFONSI.

30/08/2026



KARIBU KANISANI SIKU YA KESHO.TUTAKUA NA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA.IBADA YA KWANZA YA KINGEREZA [ SAA 1:30 ASUBUHI - 3:30]...
29/08/2026

KARIBU KANISANI SIKU YA KESHO.
TUTAKUA NA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA.
IBADA YA KWANZA YA KINGEREZA [ SAA 1:30 ASUBUHI - 3:30]
IBADA YA PILI YA KISWAHILI [ SAA 4:00 ASUBUHI - 7:30 MCHANA]
TUTAFURAHI SANA KUABUDU PAMOJA NAWE

29/08/2026

TAKE NOTE ✍️
KARIBU KANISANI KESHO
IBADA YA KWANZA YA KINGEREZA [ SAA 1:30 ASUBUHI - 3:30]
IBADA YA PILI YA KISWAHILI [ SAA 4:00 ASUBUHI - 7:30 MCHANA]
TUTAFURAHI SANA KUABUDU PAMOJA NAWE

Karibu kwenye IBADA YA SAUTI YA MWAMBAO! πŸŒŠπŸ™ŒπŸΎSauti moja, moyo mmoja, ibada moja! β€οΈπŸ“… 13 Septemba 2026πŸ“ MTBC Moshi – Kibor...
28/08/2026

Karibu kwenye IBADA YA SAUTI YA MWAMBAO! πŸŒŠπŸ™ŒπŸΎ
Sauti moja, moyo mmoja, ibada moja! ❀️

πŸ“… 13 Septemba 2026
πŸ“ MTBC Moshi – Kiboriloni kwa Alfonsi

Vaa Msuli, Abaya, Kanzu Dera, njoo tumwabudu Mungu kwa furaha! πŸ”₯πŸ’ƒπŸΎ

Address

Kiboriloni, Moshi
Kilimanjaro
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTBC Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share