CMSC Pentecost Center

CMSC Pentecost Center For Prayers and counselling call our numbers

Tunawakaribisha watu wote walioko Himo na maeneo ya karibu, Ni mkutano wa baraka wenye mahitaji wataombewa na Yesu asiye...
14/05/2024

Tunawakaribisha watu wote walioko Himo na maeneo ya karibu, Ni mkutano wa baraka wenye mahitaji wataombewa na Yesu asiyeshindwa atatenda makuu.

Yohana 14:1[1]Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. Let not your heart be troubled: ye believe...
09/11/2023

Yohana 14:1
[1]Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
Let not your heart be troubled: ye believe in God, believe also in me.

Kila mtu anaweza kumwamini Mungu,,,Ila Ni wachache Sana wanaoweza kumwamini Yesu Kristo, ambaye Ni Mungu kamili katika Mwili.

Imani isiyowekwa ndani ya Yesu Kristo Ni kujidanganya na kupotea.

Kumbuka

Kumwelewa Yesu Kristo kunahitaji ufunuo wa kiungu, lisome neno jazwa kwa wingi Roho mtakatifu..

Usisahau..
Yesu Kristo Ni zaidi mwana wa Seremala,,,Ni mwana wa Daudi pia..
He's a Son of David also.
Psalms 110:1

15/11/2022
06/04/2022

God bless you Bishop Barnabas for blessing us with a word

The Year of manifesting the Greatness of our God. And all Nations shall See the Glory of Jehovah God.
21/01/2022

The Year of manifesting the Greatness of our God. And all Nations shall See the Glory of Jehovah God.

Address

Mwika
Kilimanjaro

Telephone

+255769901396

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CMSC Pentecost Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share