Mwanga Lutheran Tv

Mwanga Lutheran Tv Mwanga Lutheran Tv: Matukio yote ya dini na habari mbalimbali ungana nasi, Mwanga Lutheran Tv, P.o Box 396 , Kilimanjaro Tanzania.

Kazi inaendelea.......
03/06/2022

Kazi inaendelea.......

Ukarabati wa Itakapokuwa Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga unaendelea nahivi ndivyo ukarabati ulipo fikia kwa sasa.
03/06/2022

Ukarabati wa Itakapokuwa Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga unaendelea nahivi ndivyo ukarabati ulipo fikia kwa sasa.

Wakristo wenzangu Kazi ya Bwana inaendelea vizuri, nikusihi kuendelea kuchangia ilikuweza kufanikisha zoezi hili mapema ...
13/05/2022

Wakristo wenzangu Kazi ya Bwana inaendelea vizuri, nikusihi kuendelea kuchangia ilikuweza kufanikisha zoezi hili mapema na Mungu awabariki sana.

ELCT-MWANGA DIOCESE DEVELOPMENT ACC. No. 0150269415600 CRDB BANK.
KKKT DAYOSISI YA MWANGA MIRADI ACC. No. 40210007494 NMB BANK.
LIPA NAMBA : 3 2 3 2 1 1 ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]

Ukarabati wa Itakapokuwa Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga Unaendelea nakusihi mkristo mwenzangu uguswe kuchangia Kazi h...
13/05/2022

Ukarabati wa Itakapokuwa Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga Unaendelea nakusihi mkristo mwenzangu uguswe kuchangia Kazi hii ya Bwana Utafanyika kuwa Baraka wewe na Familia yako.

ELCT-MWANGA DIOCESE DEVELOPMENT ACC. No. 0150269415600 CRDB BANK.
KKKT DAYOSISI YA MWANGA MIRADI ACC. No. 40210007494 NMB BANK.
LIPA NAMBA : 3 2 3 2 1 1 ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]

Baba Askofu Rt.Rev. Chediel E. Sendoro , Mkuu wa Jimbo la Tambarare Mchg. Mbonea Mfwangavo aliye shika Kipaza sauti, Mch...
29/04/2022

Baba Askofu Rt.Rev. Chediel E. Sendoro , Mkuu wa Jimbo la Tambarare Mchg. Mbonea Mfwangavo aliye shika Kipaza sauti, Mchg. Joseph Mchomvu kushoto kwa baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Magharibi wakizindua Mitaa ya Mandaka pamoja na Mramba zoezi hili liliambatana na tukio la Baba Askofu Kupanda mti k**a kumbu kumbu ya tukio hilo muhimu lililo fanyika Tarehe 24/04/2022.

Baba Askofu Rt. Rev. Chedieli E. Sendoro akizindua mitaa ya Mandaka pamoja na Mramba Siku ya Jumapili ya Tarehe 24/04/20...
29/04/2022

Baba Askofu Rt. Rev. Chedieli E. Sendoro akizindua mitaa ya Mandaka pamoja na Mramba Siku ya Jumapili ya Tarehe 24/04/2022. Zoezi hili ni pamoja na kusogeza huduma ya injili karibu hasa kwa wakazi wa Mramba pamoja na Mandaka Wilaya ya Mwanga mjini.

DMP- KKKT - Dmp Usharika Wa KimaraKKKT UKONGAUpendo MEDIA
20/04/2022

DMP- KKKT - Dmp Usharika Wa KimaraKKKT UKONGAUpendo MEDIA

Katika picha ni Baba Askofu RT. Rev. Chediel Elinaza Sendoro, Msaidizi wa Askofu Mchng. Timothy Msangi Pamoja na Mchng. ...
12/04/2022

Katika picha ni Baba Askofu RT. Rev. Chediel Elinaza Sendoro, Msaidizi wa Askofu Mchng. Timothy Msangi Pamoja na Mchng. Kelvin Katavo wa Misioni ya Jipe siku ya Uwekaji wa jiwe la Msingi katika nyumba ya Mtumishi Tarehe 10/04/2022.

Baba Askofu Rt. Rev. Chediel Elinaza Sendero akiweka jiwe la msingi  la nyumba ya Mtumishi katika misioni ya Jipe jumapi...
12/04/2022

Baba Askofu Rt. Rev. Chediel Elinaza Sendero akiweka jiwe la msingi la nyumba ya Mtumishi katika misioni ya Jipe jumapili ya Tarehe 10/04/2022.

Ukarabati wa Jengo la Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga Unaendelea guswa kuchangia Kazi hii ya Bwana Utafanyika kuwa Bar...
24/03/2022

Ukarabati wa Jengo la Makao Makuu ya Dayosisi ya Mwanga Unaendelea guswa kuchangia Kazi hii ya Bwana Utafanyika kuwa Baraka.

ELCT-MWANGA DIOCESE DEVELOPMENT ACC. No. 0150269415600 CRDB BANK.
KKKT DAYOSISI YA MWANGA MIRADI ACC. No. 40210007494 NMB BANK.
LIPA NAMBA : 3 2 3 2 1 1 ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]

Ukarabati wa Itakapokuwa Makao Makuu ya KKKT Dayosisi ya Mwanga bado unaendelea. Kwa heshima kubwa tunakuomba uguswe kuc...
24/03/2022

Ukarabati wa Itakapokuwa Makao Makuu ya KKKT Dayosisi ya Mwanga bado unaendelea. Kwa heshima kubwa tunakuomba uguswe kuchangia kwa kadiri utakavyo guswa ili kazi ya Bwana iendelee kufanyika kwa ufasaha.

ELCT-MWANGA DIOCESE DEVELOPMENT ACC. No. 0150269415600 CRDB BANK.
KKKT DAYOSISI YA MWANGA MIRADI ACC. No. 40210007494 NMB BANK.
LIPA NAMBA : 3 2 3 2 1 1 ELCT-MWANGA DIOCESE [ VODACOM ]

Opening Soon...
09/03/2022

Opening Soon...

Address

Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanga Lutheran Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mwanga Lutheran Tv:

Share